Kila mtu anauliza matokeo

Kila mtu anauliza matokeo

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,700
Ukitaka kujua watu wanapenda tu mafanikio ndio kipindi kama hiki, kila MTU anaulizia matokeo lakini kipindi cha ada hakuna aliye kuwa anauliza jamani tuwe wastarabu kama hujawahi kuulizia ada usiulize matokeo!
 
Sijui ata nachangia nini hapa!

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Ukitaka uone utamu wa kuwajibu hawa uwe umefaulu,unajibu jibu lolote hata la uongo.
 
Back
Top Bottom