Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanaume wawili wanaojulikana kwa majina ya Joseph Nziku(35) Mkazi wa Mkazi wa Mtaa wa Magegele Mjini Makambako na Alphonce Danda(51) Mkazi wa kijiji cha Ibumila wanashikiliwa na jeshi la polisi...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wale ambao tulishawahi kufanya mambo ya ajabu au matukio ya ajabu katika mazingira fulani fulani tukiwa na akili zetu timamu halafu mwishowe tunakuja kudhalilika au kuponea chupuchupu tusimuliane...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Nimenunua tofali 400 nimebakiwa na laki 5 natafuta mtu mwenye akili nyingi aniambie jinsi ntakavyokamilisha hata chumba kimoja na kuhamia ikibidi kabaki kachenchi hata elfu 5. Pia nina mifuko 10...
9 Reactions
101 Replies
15K Views
Wakuu kifuatacho kwenye screenshot ni maneno yaliyoandikwa na DED wa Halmashauri ya Mwanga, ndugu Zefrin Damian Lubuva kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook. Ukiangalia kwa makini humo ndani...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
WATU wanaodaiwa kuwa majambazi, wamevamia nyumba ya kulala wageni ya Malema Lodge katika mtaa wa Sinde jijini Mbeya, inayomilikiwa na Diwani Viti Maalumu (CCM), Mary Malema, kisha kufanya ubakaji...
3 Reactions
121 Replies
21K Views
WAKULIMA wa skimu ya umwagiliaji ya Mnazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, wamefanya maombi maalumu ya kumuombea Rais Dk. John Magufuli baada ya kuwaruhusu waendelee kuutumia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu wote, Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa au kuzuiya (ku dis-able pop up ads) kwenye simu. Ninatatizwa na kukuwaza sana na matangazo hasa yanayojitokeza kwenye simu wakati...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za hapa Jukwaani Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Kahama-KUWASA inapenda kuwatangazia wananchi wote kwa ujumla kuwa kuanzia tarehe 4/1/2019 gharama ya maji itaongezeka kama...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mods naomba msiunganishe uzi huu mana na nyie mmekuwa kama mnahusika na mitandao kila tukiweka uzi wa aina hii mnafuta au kaunganisha na nyuzi za miaka sita nyuma. Kiukweli upande wangu imegeuka...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Tanzania imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa mabilioni ya Shilingi wa kuunganisha umeme kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na zile za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya matokeo ya kidato cha 4, baadhi ya watu wamedai kuchukua hatua kuwahoji baadhi ya wanafunzi hasa wa shule moja ambayo matokeo yao yameshangaza sana - ili eti kupima uwezo wao wa akili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanini shule za Serekali hazipo hata top ten matokeo ya kitaifa? Seminary pamoja na shule nyingine binafsi wanafundishaje? Je ni kweli kwamba Serikali haijui mbinu wanazotumia hawa jamaaa...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Kwanza kabisa natoa pole sana kwa walimu,wote Tanzania kwa kufanya kazi nzuri ambayo serikali haioni mchango wake! Matokeo mazuri ya wanafunzi yakitoka anayepewa sofa Ni serikali ambaye ndio...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Namba zinaendelea kusomwa. Sijajua vigezo na masharti ya vibali hivi.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakati Lissu akihaha kuwalaghai wazungu na sasa wamemstukia na kumkataa, Rais Magufuli azidi kung'ara katika vyombo vya habari vya kimataifa. SOMA HIYOOOOOOOOOOO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkazi mmoja Mkoani Njombe amenusurika kifo mara baada ya kujaribu kujiua kwa kunywa sumu baada ya kushindwa kurejesha michango ya wanachama inayokadiriwa kuwa kiasi cha shilingi laki sita. Hayo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jana nimewasikia ndugu zetu wakilalamika kuwa Terminal 2 hakuna nyumba ya ibada. Nikajiuliza mbona pale nje kidogo ya terminal 2 mkabala na kituo cha mafuta cha Puma kuna msikiti mkubwa? Kwa nini...
6 Reactions
150 Replies
19K Views
Couple Who Served In WWII Together, Married For Seven Decades, Pass Away On Same Day Modern relationships barely last a few years and are no longer based on respect and true love. However...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Sipendi kweli na nachukia sana kuona kwamba kila mwaka tu ni Shule za Kanisa Katoliki ndizo zinafanya vyema katika Matokea ya Kuanzia Darasa la Saba, Kidato cha Pili, Kidato cha Nne na Kidato cha...
45 Reactions
169 Replies
22K Views
Habari: Toka matokeo ya Kidato cha Nne kumekuwa na mjadala kwanini Shule ya binafsi zimefanya vyema zaidi . 1. Kwanza si kweli kwamba hizi shule hazitoi zero bali wanachofanya ni kuzihamisha...
20 Reactions
135 Replies
19K Views
Back
Top Bottom