Mjadala wa mgogoro wa UDOM kuhusu kuvunjwa kwa jengo la msikiti uliokuwa unajegwa, una hisia kali sana.
Ufafanuzi umetolewa ikidaiwa utaratibu haukufuatwa katika ujenzi huo, jee ilikuwa sahihi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Dar es salaam Wilbard Mashauri kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Rais Magufuli...
WanaJF kumekuwepo na maneno Oooh mkoa wa Kilimanjaro wamependelewa sana kwa kupewa kazi za serikali bila kukubaliana na hoja zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa watu toka huko wamejibidisha sana...
Kwa wale wasomaji wa gazeti la mwanachi , nadhani wataaungana na mimi juu ya mchoraji wa Katuni ya " KINGO".
Ni moja kati ya katuni Kongwe,iliyojaa Elimu ,na Burudani tele.
James Gayo ,ndie...
Ujenzi wa Stendi kuu ya kisasa ya mabasi ya mikoani katika eneo la mbezi luisi ubungo jijini Dar es salaam utakaogharimu zaidi ya bilioni 50 umeanza kutekelezwa na kampuni ya Hainan construction...
Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa hapo juu.
Naomba aliyewahi kugharamia manunuzi ya bidhaa yoyoye ile yenye nembo ya CCM aje atoe ushahidi hapa.
Nguo na bidhaa zingine za CCM ziko nyingi sana...
Wakuu na wadau wa biashara .
Msitafute mchawi, mchawi wa kuyumba kwa biashara na majirani ni sisi kuzuia kuuza bidhaa nje kama mahindi, mbao, madini ya mawe na kadhalika.
Biashara ni mfumo wa...
Vikundi vingi vya kusave pesa na kukopeshana vimeanzishwa kwa wingi siku hizi na wakina mama nao hawataki kubaki nyuma wanataka waonekane wana hela japo hawana kazi za maana,
Kuna vikoba/black na...
Naombeni msaaada wa jinsi ya kutumia maneno haya mawili HEKIMA na BUSARA yamekua yakinichanganya katika matumizi kushindwa kutofautisha lipi litumike wapi.
Itakua vizuri ukinisaidia mfano.
Nianze kwa kumnukuu mchumi maarufu duniani Miltorn Friedman katika kitabu chake cha Tyranny of the Status Qoe aliandika 'what can be asserted without concrete economical figures can also be...
Bila kupoteza muda
nilishawahi kushauri huko nyuma jeshi LA polisi tz limepoteza credibility zamani sana
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ukiona inafaa tunaomba...
Wakati sisi tunalumbana kuhusu kuwepo au kutokuwepo sehemu za ibada vyuoni wenzetu walishalifikiria na kulizingatia tangia kuanzishwa kwa vyuo. Naamini mifano ipo mingi. Nimeambatanisha mfano wa...
Msanii wa filamu Tanzania maarufu kwa jina la Mama Abdul afariki dunia mchana wa leo.
Kwa wafuatiliaji wa sanaa ya maigizo tangu enzi za Mambo hayo na Kaole Sanaa Group watakuwa wanamfahamu. Ni...
I want to know what are the disadvantage of having enemies in our daily life please help me i need your help to support me in this tpic. thank u
Sent using Jamii Forums mobile app
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amefichua tuhuma nyingine mpya. Safari hii, CAG anaituhumu Serikali kutumia zaidi ya Sh. 2.7 bilioni, bila kufuata taratibu za kifedha...
Wataalam wa mambo ya bima naomba mje hapa mtupe elimu kuhusu bima
Nataka niende vijijini nikasaidie watu kama 20 iwe kama sadaka yangu
Naomba mtiririke hapa mnipe mchanganuo wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.