KAHAMA: Mamlaka ya Maji safi yaongeza gharama ya maji kwa asilimia kati ya 62 - 67

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Habari za hapa Jukwaani

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Kahama-KUWASA inapenda kuwatangazia wananchi wote kwa ujumla kuwa kuanzia tarehe 4/1/2019 gharama ya maji itaongezeka kama ifutavyo;

Mf. Kwangu mwezi December nimetumia Unit 44 na kulipa Jumla ya Tsh. 44,660+2500 ya service Charge=47,160.

Ikiwa January nitatumia Unit hizo hizo 44 nitalipa 74,272 sawa na Ongezeko la 27,112. Wameondoa Tsh 2500 ya Service Charge na kuniongezea 27,112. Hii ndio Serikali ya Wanyonge

Capture.PNG


IMG-20190126-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom