Jimbo hilo ambalo liko nchini Marekani linafahamika kwa kuwa na sheria kali za uvugaji wa sigara
Muwalilishi kutoka chama cha Democrat, Richard Creagan amependekeza umri huo utambulike kisheria...
Kuna magonjwa yanaumiza, mtu anakufa kwa mateso na kuteseka, mtu anaumia maumivu yasiyoelezeka.
Unawezaje kumshawishi mtu wa aina hiyo kua kuna Mungu mwenye upendo, mungu kwenye nguvu na mungu...
Serikali ijitafakari sana kuhusu elimu bure,hawa ni wanafunz wa kidato cha kwanza katika shule moja ya secondary wakiwa wameketi juu ya vindoo darasani kutokana na ukosefu wa viti na...
Wakuu mtakumbuka Mtukufu Rais wetu Magufuli aliwatumbua watendaji hawa wa Mkoa wa Kagera ambao ni Katibu Tawala Mkoa na Mhasibu wa Mkoa. Pia Meneja wa CRDB Bukoba aliwajibishwa na Mamlaka yake kwa...
Haya mawakili mkae mkao wa kiuchaguzi tena kipyenga kimeshapulizwaaaa pyuuuu na tume ila siyo ya Jecha.... February hii..
Mh. Wakili Msomi Fatma Karume muda wake wa urais unafikia kikomo yeye...
Nimeona nishare hii ya kupeleka bahasha kila mwezi kama zaka kwa parokia ya kitunda inasaidia sana. Niwaombe parokia zingine mchukue hii ni nzuri sana ktk kuhamasisha watu kutoa fungu la kumi.
Hii...
SILAHA ILIYOMGUSA NA KUMPAPASA AKWILINA...
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar, Lazaro Mambosasa amesema Silaha "iliyomgusa" Akwilina haijajulikana hadi leo. Ni kamanda huyuhuyu ndiye alitoa...
Katika pilika pilika za maisha,nilisafiri kwenda Mkoa wa Songwe,wilaya ya Momba kama sikosei maana niliteremkia pale Mlowo halafu nikaenda sehemu inaitwa Uwanda/kijiji cha Kilangawanu.Nilielekezwa...
Kamanda wa mkoa wa Njombe Renata Mzinga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kupitia Kamanda wa Mkoa Renata Mzinga limesema linawashikilia watu 28 wakiwemo wafanyabiashara kwa tuhuma za kuhusika na...
habalini.
kuna chumba na sebure, hapa mabibo jeshini,karibu na royola, ndani ya hizi siku mbili, uwe umeamia, kwanza inajitegemea, maji 5000/= kwa mwezi, umeme mnachangia, packing ipo, wapangaji...
Saa kama tatu hivi zilizopita nilikua Kariakoo kwenye jengo moja la ghorofa saba ambalo hutumika kama makazi ya watu na ofisi pia. Ofisi niliyokua naenda ipo ghorofa hiyo ya saba ambapo...
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeshauri kufanyika upya mapitio ya viwango vya tozo la daraja la Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam ili ziwe tozo zitakazowezesha magari madogo ya abiria...
MAMLAKA HUSIKA SHUGHULIKIENI TATIZO HILI LA SONGWE AIRPORT - MBEYA.
Nakumbuka ilikuwa ni tarehe 12 mwezi Disemba mwaka jana 2016 tukiwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam...
Je, umaarufu wao utaongezeka au ndiyo kwanza watakuwa wamejichimbia wenyewe Makaburi yao Kiusanii?
Hii imekuja kutokana na kwamba katika Mkutano wa Mkuu wa Mkoa na Wasanii uliofanyika Leaders...
Baadhi ya waganga wa jadi wasiokuwa na nia Njema wameanza kutoroka mkoani Njombe na kukimbilia mikoa ya jirani kutokana na msako mkali wa jeshi la polisi unaoendelea mkoani humo ili kuwabaini...
Habari wadau wa jf.
Hope mko poa.
Wadau naombeni mnisaidie kitu kimoja ambacho kinanikera sana.
Nilishawahi kucheza biko mara moja na wala sikushinda hali iliyonifanya niwachukie hao biko kwa...
Como estas
Naam moja kwa moja niende kwenye hoja bila kuzungukazunguka
Ni wiki sasa tangu tulipoona list ya wanaotambuliwa na Tra kama kundi jipya la wapiga debe
Cha kushangaza kwenye kundi...
Tafsiri sahihi ni kufikiri zaidi ya kufikiri... Kufikiri kulikozidi mazoea....
Mtandao huu wa Jamiiforums unaongozwa na slogan ya where we dare to talk openly... Sehemu tunapoweza kuongea kwa...
Nnapozungumzia kiranja wa Dunia nazni wengi mnaelewa kuwa ni taifa Kubwa lenye nguvu kiuchumi, Kijeshi na kwenye maswala ya Ushawishi. Kwa sasa taifa lenye nguvu ulimwenguni ni United States Of...