Bacore
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 225
- 232
habalini.
kuna chumba na sebure, hapa mabibo jeshini,karibu na royola, ndani ya hizi siku mbili, uwe umeamia, kwanza inajitegemea, maji 5000/= kwa mwezi, umeme mnachangia, packing ipo, wapangaji wawili wanashea choo na umeme, nilikuwa namlengeshea dada yangu, yeye amepata pengine, hapa watu wakipanga huwa wanakaa miaka kumi na wakiama wanaamia kwenye nyumba zao, nimeamua kula udalali, kama unataka fanya hima, hiyo ndio baati yako! sibembelezi mtu, embe limeokotwa kwenye mfenesi