Nimeona nishare hii ya kupeleka bahasha kila mwezi kama zaka kwa parokia ya kitunda inasaidia sana. Niwaombe parokia zingine mchukue hii ni nzuri sana ktk kuhamasisha watu kutoa fungu la kumi.
Hii kadi inakuwa kwenye bahasha yenye jina la parokia na jumuiya unayotoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kadi inakuwa kwenye bahasha yenye jina la parokia na jumuiya unayotoka.
Sent using Jamii Forums mobile app