Kwanza tuwape pole wanajombe wote.
Haijawahi kutokea mkoani Njombe mauaji ya kikatili kama haya toka dunia kuumbwa.
Kuna uwezekano mkubwa wahusika ni kutoka makundi haya.
1. Wanasiasa...
Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu nipo mzima kabisa wa afya.
Jana usiku nikiwa na classmate wangu Beautiful Nkosazana dukani kwake maeneo ya Sinza (umeme ukiwa...
Mnachotufanyia sisi madereva wa bodaboda si sawa Mwanachuo anakukodi umpeleke sehemu,na mnakubaliana bei unapomrudisha,mkikaribia kwenye kitivo chake unastuka hayupo kwenye kiti,anapotea kimiujiza...
Njombe: Wananchi wenye hasira wamewashambulia hadi kuwaua watu wanne waliokuwa wakituhumiwa kumuua mtoto mtoto wa kike wa miaka 7.
Recho Malecela mwili wake uligundulika Ijumaa iliyopita katika...
Ukienda Mlimani City kitu ambacho unaweza kukipata kwingine kwa Tsh. 100,000/- kule ni Tsh. 400,000/- ama Tsh. 300,000/-. Runinga ya Tsh. 700,000/- kule ni Tsh. 1,500,000/- japo bidhaa ni ileile...
Rejea na kichwa cha habari hapo juu..
Mimi ni Mwananchi wa kawaida na mtumiaji wa mtandao wa TTCL.
Nimezungumza haya kutokana na matatizo ndani mtandao yasiyokwisha kama sasa hivi karibia wiki...
Kwa muda mrefu kifua kimebana sana kwa mambo yanayoendelea kwenye Nchi ile, sijui ni mimi mwenyewe???
Katibu wa chama cha Nchi ile anasema kila mkoa umeunganishwa kwa lami asubuhi nimeona...
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wangu binafsi . Utakuta mtu nyumbani kwake kuna sofa za maana, chini kuna zulia la hadhi ya ikulu. Tv nchi 42 ikipewa sapoti na vinga'amuzi kama vitatu tofauti...
Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono pamoja na tabia ya ushoga mkoani Iringa kunadaiwa kusababishwa na baadhi ya vijana wa vyuo vikuu waonafika mkoani humo kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu...
Risasi 16 kutoboa mwili, haikua rahisi.
Lissu hajafa, na sasa anayo ari zaidi. Amepania na anaungwa mkono na kundi kubwa la vijana na watanzania.
Ni wakati muafaka serikali ya rais Magufuli...
Baada ya ving'amuzi vingi kuzingua niliamua kununua continental ila sasa nao ni pasua kichwa. Hawako hewani takriban mwezi sasa, nikiwapigia hawanijibu (wananiwekea miziki tu). Mbaya zaidi ni kama...
Tangia serikali ya awamu ya tano ya bwana John Magufuli iingie madarakani kumekuwa na sintofahamu YA baadhi ya mambo ikiwemo la wafanyakazi wa umma kuondoshwa kazini bila ya malipo au stahiki...
Jihadhari na ugonjwa wa "excusitis-the disease of finding excuses"
Ni Ugonjwa unao pelekea kushindwa katika maeneo yote ya maisha.
Dalili Kuu ya ugonjwa huu ni kutafuta visingizio kwanini mtu yupo...
Wadau kadiri siku zinavosonga ideas mpya huibuka.
Wapi huko ulaya unaweza pata kazi ya kutunza hata bustani, kubeba box etc huku ukipiga kitabu.
Lengo hasa ni kutafuta mtaji kupitia scholarship...
Ukimsikiliza kwa makini utagundua ni mtu anayefanya kazi yake kwa moyo akiwa na ari tofauti na sisi vijana wa sasa, tumejawa na malalamiko na udhaifu mkubwa sana kwenye utendaji wetu.
Ni bibi wa...
- Wilaya yenye wachapakazi wazuri.
- Wilaya ya kwanza kwa shule nyingi za sekondari. Kata ina shule zaidi ya 1
- Wafanya biashara wakubwa nchini. Mf. Air Precision, rombo grean view,
- Barabara...
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Frester ambalo linafanya safari zake kati ya Bukoba kwenda Dar es salaam, limepata ajali mbaya ya kupinduka leo Februari 2, 2019 katika maeneo ya pori la...
Ni mkutano wa wanachama wa Dar wanaolelewa na muavuli wa Namaingo Business Agency LTD kujadili uwekezaji mkubwa wa mradi wa ufugaji nyuki pamoja huko kibiti mkoa wa pwani pia na mikakati ya mazao...
Haiwezekani mnatukatia tu umeme kwa mda mrefu bila hata taarifa yoyote. Ni kweli kwamba labda kuna matengenezo yanaendelea au kuna hitilafu mahali fulani, lakini ni uungwana na busara zaidi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.