Kesi ya RAS, Mhasibu wa Mkoa na Meneja CRDB inaendeleaje?

Kesi ya RAS, Mhasibu wa Mkoa na Meneja CRDB inaendeleaje?

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,950
Reaction score
46,344
Wakuu mtakumbuka Mtukufu Rais wetu Magufuli aliwatumbua watendaji hawa wa Mkoa wa Kagera ambao ni Katibu Tawala Mkoa na Mhasibu wa Mkoa. Pia Meneja wa CRDB Bukoba aliwajibishwa na Mamlaka yake kwa ushiriki katika kilichoitwa "kula njama na kujinufaisha kwa kufungua akaunti banki ya CRDB ili wajipatie michango kwa niaba ya waluadhirika na tetemeko la ardhi"

Mtakumbuka baada ya kutumbuliwa hawa jamaa chap chap walipandishwa kizimbani.

Sasa mimi naomba kujua kesi yao imeishia wapi? Au napo upelelezi bado unaendelea???
 
Hawa jamaa sijui kesi yao imeishia wapi.
 
Principle of natural justice, innocent until proven guilty....!
 
Back
Top Bottom