Wanafuzi wakalia ndoo za maji darasani

Wanafuzi wakalia ndoo za maji darasani

chidayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
444
Reaction score
903
Serikali ijitafakari sana kuhusu elimu bure,hawa ni wanafunz wa kidato cha kwanza katika shule moja ya secondary wakiwa wameketi juu ya vindoo darasani kutokana na ukosefu wa viti na meza,mwanafunzi huyu hawezi kuwa na ufanisi katika masomo yake kwa mazingira kama haya.Ni wakati sasa serikali ikatoa tamko la kuwataka angalau wazazi wachangie madawati kwa kuwa serikali imelishindwa hili.
IMG_20190205_095920.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo darsa la tangu enzi ya awamu ya 4.
 
Wabunge wa ccm hawaoni huruma kabisa jinsi walivyo wakatili
 
Serikali ijitafakari sana kuhusu elimu bure,hawa ni wanafunz wa kidato cha kwanza katika shule moja ya secondary wakiwa wameketi juu ya vindoo darasani kutokana na ukosefu wa viti na meza,mwanafunzi huyu hawezi kuwa na ufanisi katika masomo yake kwa mazingira kama haya.Ni wakati sasa serikali ikatoa tamko la kuwataka angalau wazazi wachangie madawati kwa kuwa serikali imelishindwa hili.View attachment 1013981

Sent using Jamii Forums mobile app
Wambie tuna dremliner na air bus
 
Hata huku kwetu chanika dar es salaam mwanangu anakaa chini, ninachokifanya nampa kitenge akakalie shule darasani ili nguo zisichafuke. Hivyo elimu bure bado changamoto nyingiii. Mie nashauri wazazi tinge lichen fishes hata elfu tano ya madawati
 
Back
Top Bottom