Alishinda tuzo ya Walt W Braithwaite Legacy Award wakati wa kongamano hilo.
Bwana Jonas kwa sasa anafanya kazi na kampuni ya Boeing kama muhandisi wa usalama katika ndege ya 777X.
Beya ni...
Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana...
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Pangani kwa kushirikiana na maafisa wa mamlaka ya mapato nchini (TRA) mkoa wa Tanga wamekamata na kuitaifisha shehena ya mifuko ya sukari zaidi ya 148...
Habari wandugu,
Wiki ijayo natarajia kusafiri kwenda Mwanza. Nitakuwa na kazi maeneo ya Halmashauri ya Ilemela, hivyo nataka nijibane angalau nipate lodge nzuri kwa gharama isiyozidi 30,000 kwa...
CHAMA cha demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Arusha,kimelalamika kuhujumiwa na chama cha mapinduzi(CCM) kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoani hapa ili kukihujumu chama hicho katika...
Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru Arusha Martin Chama amesimamishwa kazi ya kutoa huduma za uuguzi na ukunga kwa mwaka mmoja na Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania.
Uamuzi huo...
Miaka ya 2010 Mji wa tukuyu watoto wadogo wa kike walikuwa wakipotea kuuwawa na kuchukuliwa viungo vyao bila huruma.
Sasa Njombe watoto wanapotea kuuwawa na kutolewa viungo.Ajabu ni kwamba...
Wasalaam,
Weekend hii baada ya shamrashamra za Valentines day nategemea kujivuta Bagamoyo kwa mapumziko mafupi.
Nimejaribu ku google nione sehemu nzuri ya kufikia ila napata sehemu za ghali...
wadau tabia ya kunyoa denge ni tabia ya tuvijana tutukutu na vichekibobu.
siku hizi naona imekuwa fasheni wa mababa wenye umri wa kugombea urais akiwemo Tundu Lissu.
Huu sio uchekibobu jamani...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema jeshi hilo limemkamata kijana William Simon kwa tuhuma za kumbaka Bibi Kizee Jema Macheho (77) na kumsababishia kifo akiwa anapatibiwa...
Hii kampuni ya startime inakotaka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za...
Raia mmoja wa Tanzania aliyetambulika kwa jina la Abdul Rahman Asman anadaiwa kukamatwa Bali nchini Indonesia akiwa na dawa za kulevya alizokuwa amemeza tumboni.
Maofisa katika Uwanja wa Ndege wa...
Habari njema kwako mteja wa kisimbusi cha Continental unayetumia dish sasa marekebisho ya mitambo yetu yamekamilika. Tupate kwenye Satelite ya Azerspace 2 45E Freq 11637 SR 30,000, Mod8PSK , FEC...
Leo nimeshuhudia samani za Benki ya Exim zikichukuliwa kutoka kwenye matawi ya Benki hiyo mjini Arusha kisa mteja wao aliibiwa fedha zake kwenye Benki hiyo. Kwanza pole sana mteja kwa ajili ya...
Washukiwa watatu wa utekaji na mauaji ya watoto wa chini ya miaka 10 wilayani Njombe, kusini magharibi mwa Tanzania wamepandishwa mahakamani hii leo.
Watuhumiwa hao waliowekwa wazi kwa mara ya...
Watu wawili Mwanamke na Mwanaume ambao majina yao yamehifadhiwa wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuhusika na mtandao wa wizi wa bajaji ambao wanatumia mbinu ya...
Kuna mjadala unaendelea hivi sasa Star TV. Inaonekana wazi mtangazaji hana upana wa uelewa wa mada: uzalendo. Hata aliowakaribisha, wanamkosoa.
Mtangazaji kaishia kumsema Raisi na Lissu kama key...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo amewasili Mkoani humo kufuatilia mwenendo wa oparesheni ya kifuatilia matukio ya utekaji na mauaji ya Watoto
Mkoani humo kiliundwa...
Watuhumiwa watatu wa mauaji ya Watoto mkoani Njombe wamefikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya tuhuma za mauaji
Waliofikishwakatika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Njombe ni Joel Joseph Nziku...
Habari!!
1 Nimepoteza leseni yangu ambayo imeisha muda wake..
2 yapata mwaka sasa tokea imeisha muda wake
3 taratibu zipi za kupata leseni mpya?
4 je kuna adhabu ya kuchelewa kurenew
leseni...