Adhabu ya kuchelewa kurenew leseni

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,866
2,000
Habari!!
1 Nimepoteza leseni yangu ambayo imeisha muda wake..

2 yapata mwaka sasa tokea imeisha muda wake

3 taratibu zipi za kupata leseni mpya?

4 je kuna adhabu ya kuchelewa kurenew

leseni yangu ilikua na class a,b,d,c1, c2,c3, ntaipataje pia cheti changu kilipotea kwenye ajali
 
if cap fits

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
980
1,000
Mbona umekuwa mzembe kiasi hicho,siku zote haupo barabarani.ukipoteza lesseni lazima uripoti polis na baadae uende kwa vehicle waitazame mtandaoni ndo taratibu zinaendelea.ila kama ingekuwa imeisha tu ungeenda kwa vehicle wangeipitisha ukaenda TRA kulipia na pia wangekupiga test ya kuendesha kidogo wajue uwezo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya duniani mkuu sio kama nilifanya kusudi...
Tuyaache yaliyopita nategemea ushauri naanzaje
 
Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,141
2,000
Ukichelewa miaka 2 wanai cancel itakubidi kuomba leseni kuanza A, sijui Test Drive, Kupitisha madaraja etc etc..
 
KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,144
2,000
Nafkiri ukienda mamlaka husika utapata taratibu kamili.

Ila kwa hizo C1, C2 na C3 nadhani itakuwa ulisomea VIP Driving Course. Cheti kikipotea unaenda kutoa taarifa polisi kisha unaandika barua kwa mkuu wa chuo ukiambatanisha intake yako ilikuwa lini hapo chuoni ili kupewa barua ya utambulisho kuwa ni kweli ulisoma hapo hiyo course na ulipata cheti. Kwa kuwa cheti hakitolewi mara mbili.

Na leseni kubwa kama hiyo bila ya kuwa na cheti itakuletea usumbufu kidogo.

Kwa kifupi nenda mamlaka husika utapata maelekezo sahihi.

Pole sana ndugu.
 
Misitu

Senior Member
Feb 23, 2008
103
250
Nenda TRA dawati la leseni, mimi yangu ilibebwa na Traffic sehemu tofauti na mahali nilipo na trsffic police aliichukua ikiwa ina siku mbili tu kabla ya kwisha muda wake. Nilikaa mwaka mzima bila kurenew baadae nilienda kuripoti police kama liseni iliyopotea hata hivyo ofini waliniambia niende TRA dawati la Leseni za magari ndipo Traffic wa pale akaniambia inabidi kupigwa picha upya, finger prints upya na kulipa upya na nilifanya hivyo, tayari naisubiri leseni mpya baada ya kulipia.

Utaishije bila leseni mwaka mzima?
Simple, nilienda ofisi ya traffic police mahali naishi wakaniandikia barua kwamba leseni yangu wanayo wao hivyo popote ninaposafiri naruhusiwa kwenda na nikirudi baada ya safari nitachukua leseni maana ipo kwao kwa sababu niliona gharama ya kufuata leseni kea yule traffic aliyeichukua ni kubwa kuliko kuchukua barua kwa traffic police mahali au mji nilipo.

Hivyo kajieleze kituo cha police watakupa maelezo ila uwe unakumbuka TIN yako au namba yako ya leseni mkuu

Shukrani mkuu hivyo vyote navikumbuka namba ya leseni na tin number vipo..
Kwa maelezo yako inatakiwa nianzie police kwanza kuchukua loss report
 
big_in

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
4,515
2,000
Habari!!
1 Nimepoteza leseni yangu ambayo imeisha muda wake..

2 yapata mwaka sasa tokea imeisha muda wake

3 taratibu zipi za kupata leseni mpya?

4 je kuna adhabu ya kuchelewa kurenew

leseni yangu ilikua na class a,b,d,c1, c2,c3, ntaipataje pia cheti changu kilipotea kwenye ajali[/QUOTEUlikuwa jela?
 
Misitu

Senior Member
Feb 23, 2008
103
250
Shukrani mkuu hivyo vyote navikumbuka namba ya leseni na tin number vipo..
Kwa maelezo yako inatakiwa nianzie police kwanza kuchukua loss report
Ndiyo mkuu, wao ndo watakuelekeza. Pia siyo issue sana. Ukienda kuchukua police report wewe toa namba ya leseni na Tin kama watahitaji ile usieleze kwamba ime expire. Issue ya kuexpire ni ukienda TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,866
2,000
Ndiyo mkuu, wao ndo watakuelekeza. Pia siyo issue sana. Ukienda kuchukua police report wewe toa namba ya leseni na Tin kama watahitaji ile usieleze kwamba ime expire. Issue ya kuexpire ni ukienda TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeenda mkuu nimefanya kama ulivyosema,wamenipa loss report.kwa sasa nafanya utaratibu wa kurenew..
Hivi naweza kuendesha gari kwa hii karatasi ya loss report..wale traffic hawawezi kupiga simu kujua kwamba leseni yangu ipo out of date?
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
7,352
2,000
Habari!!
1 Nimepoteza leseni yangu ambayo imeisha muda wake..

2 yapata mwaka sasa tokea imeisha muda wake

3 taratibu zipi za kupata leseni mpya?

4 je kuna adhabu ya kuchelewa kurenew

leseni yangu ilikua na class a,b,d,c1, c2,c3, ntaipataje pia cheti changu kilipotea kwenye ajali
Nenda tu chuo wewe mjanja sana, unatembea na vyeti?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom