Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo amewasili Mkoani humo kufuatilia mwenendo wa oparesheni ya kifuatilia matukio ya utekaji na mauaji ya Watoto
Mkoani humo kiliundwa kikosi kazi maalumu cha kuchunguza na hatimaye kukomesha mauaji hayo ya kinyama
Jenerali Mabeyo amesema uchunguzi wa awali unaonesha matukio hayo yanafanywa kifamilia zaidi
Ameongeza kuwa ni lazima yadhibitiwe ili yasiwafikie watu wengi zaidi