Lodge gani nzuri maeneo ya Busweru/National Mwanza

frami42

Member
May 17, 2018
27
45
Habari wandugu,

Wiki ijayo natarajia kusafiri kwenda Mwanza. Nitakuwa na kazi maeneo ya Halmashauri ya Ilemela, hivyo nataka nijibane angalau nipate lodge nzuri kwa gharama isiyozidi 30,000 kwa siku maeneo ya Busweru au jirani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,053
2,000
Unataka kulala Lodge una mwanamke?? Kama huna nafuu ulale stand na wasafiri uokoe hiyo elfu 30.

Ni mwiko kulala Lodge peke yako. Unapoteza pesa
 

alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
779
500
Habari wandugu,wiki ijayo natarajia kusafiri kwenda mwanza.nitakua na kazi maeneo ya halmashauri ya ilemela.hivyo nataka nijibane angalau nipate lodge nzuri kwa gharama isiyozidi 30,000 kwa siku maeneo ya buswelu au jirani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko nzuri kama tatu hapa Busweru. hazibon, Nolin na nyingine sikumbuki jina lakini ziko vizuri na bei zao ni sh 15000 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom