Je Lissu hana maadili, mbona ananyoa denge kama chekibobu?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
2,714
2,000
wadau tabia ya kunyoa denge ni tabia ya tuvijana tutukutu na vichekibobu.
siku hizi naona imekuwa fasheni wa mababa wenye umri wa kugombea urais akiwemo Tundu Lissu.

Huu sio uchekibobu jamani,
Karibuni tujadili mambo mepesi na mwelekeo wa maadili ya taifa. Mambo ya Risasi tuziachie SMG.
 
matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
2,714
2,000
Je,wanaonyoa vipara kama kuna misiba wao vipi?
hao wanaumwa vichwa. manywele yameshapukutika. wanasupport tu.
Ila denge, panki, viduku, kama Bill Blanks ni kwa ajili ya vijana wasiojisoma, binafsi namsamehe kwa sababu yuko kwenye leheso ya uponyaji.
 
Kapwil

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,712
2,000
wadau tabia ya kunyoa denge ni tabia ya tuvijana tutukutu na vichekibobu.
siku hizi naona imekuwa fasheni wa mababa wenye umri wa kugombea urais akiwemo Tundu Lissu.

Huu sio uchekibobu jamani,
Karibuni tujadili mambo mepesi na mwelekeo wa maadili ya taifa. Mambo ya Risasi tuziachie SMG.
Kwa hiyo askari wanaonyoa denge inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,540
2,000
basi huyu Lissu kuna mawili.
ni askari kisirisiri anacheza na akili za watu au alishindwa kumuelekeza kinyozi wa ubelgiji
Msimamo wako umeanza kulegezwa... JF kiboko... Inaonekana kabla hujaandika hukuwaza kwa upanda wake hilo ulilolisema
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,526
2,000
Sijasema anafaa kuwa rais maana hafai mkuu. Nimesema anaumri wa kuwa rais.
hayo hana macognitive na emotion mkuu usimsingizie
ni kama magufuli tu.hana cognitive wala emotional strength.Lakin ni rais kwa hiyo kwenye nchi za giza kama Tanzania hilo la mavazi na mwili halina maana.
pia mi naona Lissu ana cognitive ability kubwa.Japo emotional strenght hana.Rais kikwete alikuwa na emotional strength lakin hakuwa na strong cognitive ability.

Watu wasiofaa kama magufuli wanashika nchi kutokana na udhaifu mkubwa wa taasisi zetu unaolea watu wa hovyohovyo hadi wanafikia stage ya kuwa rais wakati hawana sifa hata moja.
Ndo maana unaona saiz mambo yanaenda mrama.kila mtu na mapambio yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
2,714
2,000
ni kama magufuli tu.hana cognitive wala emotional strength.Lakin ni rais kwa hiyo kwenye nchi za giza kama Tanzania hilo la mavazi na mwili halina maana.
pia mi naona Lissu ana cognitive ability kubwa.Japo emotional strenght hana.Rais kikwete alikuwa na emotional strength lakin hakuwa na strong cognitive ability.

Watu wasiofaa kama magufuli wanashika nchi kutokana na udhaifu mkubwa wa taasisi zetu unaolea watu wa hovyohovyo hadi wanafikia stage ya kuwa rais wakati hawana sifa hata moja.
Ndo maana unaona saiz mambo yanaenda mrama.kila mtu na mapambio yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
umejuaje kama '' naona sasa hivi mambo yanaenda mrama''.
sema wewe ndio unaona hivyo sio mimi mkuu. mimi hadi uniulize nijisemee. Lissu hamfikii magufuli mkuu.
Labda kama urais wa TLS sio nchi. Huu ndio mtazamo wangu ambao umeuwakilisha kinyume.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom