Startimes mnataka nini?

kilochindikipoporu

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
249
250
Hii kampuni ya startime inakotaka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha.

Nikawapigia huduma kwa wateja muhudumu akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka,

Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asam

Senior Member
Oct 11, 2011
181
500
Hii kampuni ya startime inako taka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha nikawapigia huduma kwa wateja muhudum akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka, Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? Haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda TCRA ukawasilishe kero yako tena itapendeza ukiwa na risiti ya malipo uliyofanya.
 
Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
752
1,000

Bora wewe, mie kwangu nina miezi miwili naangalia tbc peke yake, hizo zingine hadi nifanye malipo.
 
devor

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
871
1,000
Wale jamaa wanaendesha kijanjajanja sana kazizao niwezi sana hawa watu mie na tafuta mteja wa hii takataka lao si wakweli
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
5,760
2,000
Nenda TCRA ukawasilishe kero yako tena itapendeza ukiwa na risiti ya malipo uliyofanya.
Yes!!! na huu ndo ushauri bora kuliko, nowdays tcra wanawasikiliza sana wananchi. Cha msingi akawachongee kwa baba mwenye nyumba TCRA.
 
kilochindikipoporu

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
249
250
Wale jamaa wanaendesha kijanjajanja sana kazizao niwezi sana hawa watu mie na tafuta mteja wa hii takataka lao si wakweli
Kweli kabisa yani hawa dawa yao nikufanya mgomotu maana hawaeleweki loco chaneli waliambiwa waonyeshe bure wakafungulia ving"amuzi vya antena vyadish wakagoma wakasema mpaka tulipie shs45000 haya nimelipa hiyo pesa nabodo wamenikatia huu siwizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilochindikipoporu

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
249
250
Mkuu sasa loco chaneli maana yake nini ? Bac kama wanataka kutoza pesa chanel za ndani sisi hatuna shida waseme wazi, wawa ruhusu azam nao waendelee kutoza haiwezekani azam wafungiwe alafu wao wanaendelea kutoza
Nilichogundua kwa haraka ni kwamba wa tz wakishabaki na channel za ndani ambazo ndio za bure basi hawalipii kabisa channel za ziada.
Sasa mjue hao startimes wana familia zinataka kula,kuvaa na kusoma pia.
Kwa hiyo lazima wajiongeze tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
727
500
[QUOTE="kilochindikipoporu, post: 30357435, member: 493736]

Haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu locol chaneli tu......

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Kwenye hizo namba nimekuelewa, wasiwasi wangu hizo Safari....
 
StarTimes Tanzania

Verified Member
Jun 11, 2013
184
250
Hii kampuni ya startime inako taka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha nikawapigia huduma kwa wateja muhudum akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka, Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? Haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.

Sent using Jamii Forums mobile app
habari yako kilochindikipoporu pole kwa usumbufu ulioupata toka jana, tafadhari tambua kuwa, startimes tunaendesha kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika! Local chanel ni chanel zinazopatikana katika visimbuzi vyetu bure bila kulipia. Lakini pia TBC1 one ni chanel inayopatikana hata ukichomoa kadi yako, chanel hii lazima ionyeshe, sasa endapo chanel hazionyeshi ikiwemo TBC au chanel ya ST GUIDE, basi ujue tatizo ni mfumo wa mawimbi wa kingamuzi chako. Tafadhadhari tujulishe unapata ujumbe gani juu ya king'amuzi chako sasa!
 
Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
1,434
2,000
Utajisumbua tu bure hao TCRA kazi yao ni kuwalinda star times waendelee kufanya madudu yao

Hata ile ishu ya kuondoa local channel katika dstv na azam tv lengo la TCRA lilikuwa kuwalinda star times maana walikuwa wameshapotezwa
Nenda TCRA ukawasilishe kero yako tena itapendeza ukiwa na risiti ya malipo uliyofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
StarTimes Tanzania

Verified Member
Jun 11, 2013
184
250
+255 784558270
+255 22 2199760
+255 22 2199761
+255 22 2199762
+255 22 2199763
+255 22 2199764
+255 22 2199765
+255 22 2199766
+255 22 2199767
+255 22 2199768

Director General Direct Line +255 22 2199769

EMAIL dg@tcra.go.tz
habari yako, tafadhari ukiwa na tatizo kuhusu startimes waweza wasiliana nasi kwa namba zifuatazo

0764700800 au
0677700800

au tutumie email

info.tz@startimes.com.cn
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom