Leo nimepigiwa simu na tapeli wa mtandaoni

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,349
Jamaa alipiga simu na kuniambia kuwa fulani ( kataja jina) mbona hizi bajeti za halmashauri ya () na () haziko sawa?.

Nikaliambia Mimi sihusiki na bajeti hizo labda umtafute muhusika.

Nikaliambia tena ,unapaswa kujitambulisha kwanza, maana naona namba ngeni alafu unaonekana unanijua ila Mimi sikujui.

Likasema fulani () ina maana hunijui? Huku likiwa linanifokea kama mtoto huku likizani nitatetemeka.

Likasema liko or tamisemi, nikaliambia hata kama uko or tamisemi unapaswa kuja kwa ustarabu na ujitambulishe kwanza na usizani kuwa or tamisemi ndio ufokee walioko ngazi za LGA.

Lilipoona na Mimi nimelipandia kichwani kwa kulifokea likakata simu.

Sasa sijui ni kweli kama ni litapeli au ni li afisa kutoka serikalini lisilokuwa na adamu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kubeba boksi mtoni
 
Mbona majibu uliyoandika na jinsi ulivyomjibu ni ya kistaarabu sana?

Mtu atakutajaje jina lako halisi halafu usimfahamu kama siyo tapeli?

Ungelimtukana matusi ya nguoni moja kwa moja bila kunadiliana naye kumkata stimu, asingelirudia huo upuuzi wake kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alipiga simu na kuniambia kuwa fulani ( kataja jina) mbona hizi bajeti za halmashauri ya () na () haziko sawa?.

Nikaliambia Mimi sihusiki na bajeti hizo labda umtafute muhusika.

Nikaliambia tena ,unapaswa kujitambulisha kwanza, maana naona namba ngeni alafu unaonekana unanijua ila Mimi sikujui.

Likasema fulani () ina maana hunijui? Huku likiwa linanifokea kama mtoto huku likizani nitatetemeka.

Likasema liko or tamisemi, nikaliambia hata kama uko or tamisemi unapaswa kuja kwa ustarabu na ujitambulishe kwanza na usizani kuwa or tamisemi ndio ufokee walioko ngazi za LGA.

Lilipoona na Mimi nimelipandia kichwani kwa kulifokea likakata simu.

Sasa sijui ni kweli kama ni litapeli au ni li afisa kutoka serikalini lisilokuwa na adamu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakuwa afisa asiye na adamu kabisa

Haya kijana watu washajua kuwa umepata kazi Tamisemi,lipi tangazo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom