Hii hali imeshawahi kukukuta na wewe?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
2,315
2,000
Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpaka unatamani kulia..

Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni

Kuna muda unatafuta muda mrefu kumbe unacho mkononi umekishika au mfukoni

Me nilishawai kutafuta Cheti changu cha Form Four kwa muda huo kilikuwa kina itajika Veta nilitafuta ka lisaa hvi nawauliza wadogo zangu wanasema hawajui kuja kucheki kumbe ni nacho mkononi.

Nilitamani nikichane

Je wewe pia ulishakutana na kadhia hii.... View attachment 1021766

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,033
2,000
Mimi juzi hapa kawaida nkiamka cha kwanza huwa ni kucheki nyeti zangu kama ziko vzuri then mengine yanafata sasa siku hio naamka najicheki nkakuta goroli moja kati ya mbili kwnye korodan zangu siioni asee nilitafuta mpka baadae nkaanza kuruka ruka ndo nkaona imerudi ila ilinishangaza sana kwakwl
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
7,337
2,000
kuna braza wangu mmoja mtata sasa alikuwa kanizingua siku hiyo harafu anataka kusafiri
Begi lake alikuwa ameliweka juu ya kabati la nguo juu ya begi ameweka paspot yake soo akalivuta ile paspot ikadondoka nyuma ya kabati bila kujua aliitafuta mpaka akasema kuna mazingaombwe wamemloga kazini kwake asisafiri kikazi.nilikaakimya kama sijui chochote

aliju a dege lishasepa hapa kwa nyerere
Ilikuwa safari yake ya kwanza nini? Hisia au woga mwingine ukiwa mawazoni mwako, kitu kidogo tu kinaweza kukufanya ufikiri kweli nilichokuwa nahisi kweli kinanipata. Kumbe ni mchecheto wako tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mshipa

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
11,061
2,000
Mimi juzi hapa kawaida nkiamka cha kwanza huwa ni kucheki nyeti zangu kama ziko vzuri then mengine yanafata sasa siku hio naamka najicheki nkakuta goroli moja kati ya mbili kwnye korodan zangu siioni asee nilitafuta mpka baadae nkaanza kuruka ruka ndo nkaona imerudi ila ilinishangaza sana kwakwl


Sent using Jamii Forums mobile app
 

tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,919
2,000
Mimi nilikuwa na mchepuko nishafika ghetto natafuta funguo sizioni, demu akasema anasepa kaita bodaboda. Bodaboda ishakata kona ndio nauona ufunguo nimeuvaa shingoni, kudadeki nilimkimbilia yule bodaboda na makelele kama chizi.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom