Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jitahidini kurekebisha sehemu ambako mabomba yaanaachia maji. kuna sehemu zinatiririsha maji kwa kitambo kirefu sana . jitahidini kufuatilia na kurekebisha mapema ni kero mitaani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inachekesha na kuhuzunisha hapo hapo. Huko Rombo kwa kina bwashee, kijana wa darasa la sita karudi toka shule. Nyumbani hakukuta msosi, lakini kwa jirani akasikia harufu nzuri ya ngararimo...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Natakiwa nilipe kitu fulani kwa Tshillings ila naweza pia kukilipia kwa Dola ...mimi nataka nikilipie kwa dola ..nafanyaje ili nipate rates nzuri au benki ipi wananunua dola kwa rates nzuri na...
0 Reactions
4 Replies
766 Views
Wananchi wa Kata ya Lamadi, Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, leo wamepiga kura ya siri ya kuwataja watuhumiwa wa mauaji ya watoto wilayani humo. Hatua hiyo inatokana na maazimio ya wananchi hao...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu wadau Niende moja kwa moja kwenye hoja miye nilizaliwa na mama yangu ila nikiwa bado mdogo wa miezi miwili baba yangu mzazi akafariki uyu baba yangu mzazi hakuwa na ndoa na mama...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa mwenye kujua vituo vya Watoto yatima hasa katikati maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto, Pugu au Chanika tafadhali naomba kuunganishwa na kamoja wapo. Asanteni. kutoka: 22D Arnold st.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari ndugu ni matumaini yangu mko poa pia poleni kwa uchovu wa jana hasa mliolewa sana na ambao mlikua mkila tunda la mti wa kati poleni kwa kazi kubwa mliyoifanya okay niende kwenye mada...
0 Reactions
6 Replies
907 Views
Dar kwa sasa ni kama mji mkuu wa Dudan, Khartoum kwa joto na jua kali. Siku hizi chachr kumekua na jua kali hatari. Sa 11 jioni jua lake kama la sa 7 mchana, hii ni hatari. Ni mabadiliko na hali...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
BADUNG, INDONESIA: Mtanzania aliyefahamika kwa majina ya Abdul Rahman Asman kamatwa na mzigo wa #DawaZaKulevya alizozimeza Baada ya kumamatwa jumya ya kete 99 alizozimeza...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
wanazengo naomba nitoa malalamiko ya kutosha kabisa kwa niaba ya wakaazi wa kata ya Goba mtaa wa KInzudi kwa mamlaka ya maji safi DAWASA DSM...Mtaa wa Kinzudi umegawanyika sehemu ya Kinzudi-...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni kero kubwa kwa eneo husika.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu najua apa kuna watu tofauti nina shida na no za waziri wa mambo ya ndani kangi lugola tafadhali mwenye nazo anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali itatoa adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 jela kwa wazazi wote wawili wa mtoto wa kike atakayekatishwa masomo na kulazimishwa kuolewa ama akipata...
0 Reactions
337 Replies
36K Views
WAKATI wapendanao duniani wakiadhimisha Sikukuu ya Valentine’s Day kesho (Alhamisi) kwa kila mmoja kuonesha mahaba niue kwa mwenza wake, hali imekuwa mbaya kwa mrembo Winnie Jackson baada ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jeshi la polisi linakabiliana na changamoto mbalimbali na kila kukicha kunatokea changamoto mpya. Kuna kila sababu ya jeshi hilo sasa kubadili sare za vijana wake na ziwe za kimbinu (combat...
12 Reactions
33 Replies
9K Views
Kwa kawaida suala la unyoaji wa vywele au vinyweleo vya mwili hufanywa wakati mhusika akiwa ametulia na wakati mwingine kwenye maeneo ya siri. Lakini hii imekuwa tofauti kwa mwanamke mmoja, mkaazi...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Inasikitisha sana kuona kampuni ina jina kubwa(goodwill) kwa jamii na inapata mafanikio kila mwaka lakini hali ya wafanyakazi inakuwa duni. Kwa uelewa wangu mfanyakazi inabidi awe motivated sababu...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Ndugu zangu naomba kujua hivi sasa ndugu tajwa yuko wapi na anajishughulisha na nini?. Hali yake kimaisha ikoje (kijamii na kiuchumi), Viongozi wakubwa hawa ni vizuri wakawa roro modo kwa vizazi...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Majambazi watatu wamevamia benki nchini Uganda (DFCU) na kuwabaka wafanyakazi wawili ikiwa ni kuwashinikiza kutoa ufunguo wa sanduku la kuhifadhi fedha, hata hivyo hawakupewa funguo hizo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…