Kwanini hizi balozi zimeamua kupiga mnada assets zake zilizo Tanzania.
Alafu kwa uelewa wangu, hawa jmaa assets zao huwa wanazitoa kwenye serikali kama msaada na sio kuziuza.
Hivi karibuni...
Mzingo wa dunia kuzunguka ikweta(circumference) ni km40,075.
Dunia inazunguka wastani wa km1600 kwa lisaa limoja (1600km/hr) katika mzingo huu.
Kwa mantiki hiyo ni speed kubwa mno kuliko hizi...
Wengi hatujuwi hii law na wengi inatutesa mpaka makaburini.
Kumbe inakupasa kuwa makini sana unapo kuwa unaongea na kiongoz wa juu. Wakati mwingine unaweza kuwa unapata shida na mateso usio...
Wakuu, habari za usiku huu, ninaomba kujuzwa mrithi wa mali baada ya kizazi cha nne huwa nani.
Mfano, Babu kaacha mali iliyorithiwa na Baba, baba akawaachia watoto wake yaani wajukuu wa babu je...
Wanahitaji wengi zaidi na zaidi na msipokoma mtaisha kweli. Jamani mwenyekidonda hajali idadi ya inzi wanaokufa yeye anaangalia kidonda chake tu na hukilinda. Narudia tena inzi wataisha wote kama...
Mbowe aendelea kusota rumande kwa kosa la kujitakia kwa kuzizarau sheria za Tanzania walizozitunga wabunge wenyewe wakiwemo Mbowe Na Esther.
Mbowe alipanda pipa kwenda Dubai akajisahau akapiga...
Vijana under 40 years nendeni ulaya kutafuta maisha,msikatishwe tamaa kwamba kule kugumu.
Kama uko hapa nchini na bado una nia ya kutoboa,potelea zako huko ili mradi kule una mtu wa kukupigia...
Home of great thinker ha ha ha
kuna kitu kimoja nimegundua humu jamii forums hila sidhani kama na nyinyi ma EXpert member mmeona
kitu nilichogunduwa asilimia 85% ya vijana au wanafunzi...
#REPOST Lamps Collin
Kuna tafiti kadhaa zimefanywa kuhusu siku ya Jumatatu. Wengine wanasema hizo ni imani tu. Kwa vyovyote itakavyokuwa tunakuletea mambo matano kuhusu Jumatatu.
1. Mwaka 2012...
Baada ya mwaka mzima kupita huku viroba vikiwa vimepigwa marufuku , hali imeanza kuwa tofauti sana hasa kwa vijana .Zamani ilikuwa muda wote vijana wananyonya viroba na afya ya akili zao ilikuwa...
Hawa jamaa wa kata ya mandewa wako vizuri kiimani isee,
Sasa hivi wanainua mjengo wa maana hapo parokiani .Mjengo huo ukimalizika utakuwa kwenye kiwango kizuri sanaa cha ubora na uzuri kwa...
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye...
I am very discouraged. Highly discouraged. Nilitumai viongozi wa dini wangetoa kero za waumini wao barabra. Kero hizi zilitakiwa zilenge mwenendo wa uchumi na uhusika wake na ziegemee matatizo ya...
Leo nimetembela ofisi za PSSSF kama inavyofahamika sasa baada ya kuunganishwa kwa mifuko ile ingine ya zamani yaani (PPF Pension Fund, Public Service Pension Fund (PSPF), Local Authorities...
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.
Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.
Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.
Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.
Kwanini huyo Teacher...
Mchora Katuni Mkongwe wa Katuni ya Kingo Ndugu James Gayo anaandika.
Baadhi ya waafrika wamekata tamaa. Baada ya tathmini yao ya mambo wameshaamua kuwa Afrika haiwezii kufikia maendeleo ya...
Tamisemi hasa idara ya Afya mnaua sekta ya Afya. Uongozi ni kipaji halisi mtu anazaliwa nacho, kipaji hicho huwa kinaboreshwa na Elimu.
DMO/ RMO ni vyeo vya kukaa ofisini na kuzunguka huku na...
Ng'ombe wana thamani ya milioni 72 na zawadi hii ni kwa JWTZ,polisi na sekta ya afya DSM kwa ajili ya sikukuuu.
Je, Pesa hizi anatoa wapi?
Updates
14.1.2018
Makonda ametoa ahadi kwa mama wa...