Law 1: Never outshine your master

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,182
11,199
Wengi hatujuwi hii law na wengi inatutesa mpaka makaburini.

Kumbe inakupasa kuwa makini sana unapo kuwa unaongea na kiongoz wa juu. Wakati mwingine unaweza kuwa unapata shida na mateso usio yajuwa kwakujifanya wewe una akili kuliko viongoz wako.

Hii law inamanisha kwamba tuwe na tabia yakuongea kwa kiasi mbele ya watu wakuu.

Sheria hii ukisoma inaonyesha mifano ya watu wakale walio pata shida kwa kutokuwa makin ktk matendo yao.

Hivyo tuwe makini yangu hayo tu kwa leo
 
1550507755267.png
 
TL is mazafaqa and u a the son of a bich so dont be too obssesed with him he could be ur dad u kno.
 
Hiyo sheria never exist in the world of performance.

Kwenye performance and courageous leadership, tunasema, a good leader is that who creates better leaders. Maana yake ni kuwa, kiongozi uliyemtengeneza anatakiwa kuwa bora kuliko wewe.

Na siku zote kiongozi ambaye hufanikiwa ni yule mwenye uwezo wa kutengeneza better leaders katika levels zote. Good Perfotmance of those leaders created, proves your leadership strength.

A weak leader creates weak and non performing leaders.

Remember, failure of organization is failure of the organization and vice versa. Leo hii, Tanzania ikafanikiwa katika kila nyanja, ikiwa ni pamoja na kuwa na viongozi wenye kuleta matokeo mazuri katika kila level, itaashiria uwezo wa kiuongozi wa Mh. Rais, and vice versa.
 
In the republic there are no masters and subjects. our country is not an empire or some sort of twisted sukuma kingdom

republic:
a state in which supreme power is held by the people and their elected representatives, and which has an elected or nominated president rather than a monarch
 
Hahaha hell big no. Kuwatii viongozi ndio msimamo.. ila sio kuwa outshine. Kama una akili zaid yake sio dhambi. Acha kuingiza nidham ya uoga
Wengi hatujuwi hii law na wengi inatutesa mpaka makaburini.

Kumbe inakupasa kuwa makini sana unapo kuwa unaongea na kiongoz wa juu. Wakati mwingine unaweza kuwa unapata shida na mateso usio yajuwa kwakujifanya wewe una akili kuliko viongoz wako.

Hii law inamanisha kwamba tuwe na tabia yakuongea kwa kiasi mbele ya watu wakuu.

Sheria hii ukisoma inaonyesha mifano ya watu wakale walio pata shida kwa kutokuwa makin ktk matendo yao.

Hivyo tuwe makini yangu hayo tu kwa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daudi AB ni master kwenye hii lol..anaenda na beat
 
Bado tunaitami vijana jasiri na jeuri sio wale wa ndio mzee.Kuna baadhi ya ids hapa jamvini zimekuwa zikitishia na kuwajengea hofu vijana na misingi ya uoga wale wanaouliza na kuhoji mambo yanayoenda ndivyo sivyo.Wakati wenu unakuja ndio mtajua kuwa hamjui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom