Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Kumekuwa na tabia ya watu hasa kwenye mitandao ya kijamii kupost rundo la vitabu walivyosoma ndani ya mwaka au hata kuonyesha vyumba vyao special kwajili ya kujisomea vilovyojaa vitabu.
Nachoweza kusema ni kwamba kusoma sio kuelewa bali.......... kusoma bila kuelewa ni kama kuangalia picha kwenye magazeti ila kuelewa ni kama kuangalia picha pamoja na kusoma habari yake.
kusoma sio kujifunza, usiperuzi tu kitabu kama gazeti la michezo uwahi kulimaliza ili uendelee na lengine, Soma vitabu kwa kuvielewa, kuvi tathmini kwa kina na chukulia point za author katika perception yako. Collection yako ya vitabu ulivyosoma sio taji la ushindi endapo hujavielewa.
Kwa mfano mrahisi tu kuna njemba ilipost imemaliza vitabu vitano vya kuishi na watu ikiwemo kitabu maarufu cha how to influence people and win friends lakini cha ajabu ile njemba ukikutana nayo yenyewe inataka kusikilizwa tu bila kusikia unayosema(arrogancy), maringo na dharau za kijinga, eye contact hakuna kabisa yeye yupo na simu.
ndege aliye mkononi ana thamani zaidi kuliko wawili ambapo wapo kichakani, kusoma vitabu vingi endapo na hata kuvikariri kama marking schemes za kujibia mtihani ni upuuzi, soma kwa malengo ili uelewe kitabu na kukitumia in real life na kwa hakika itabu vitakusaidia. Hata ukisoma kitabu kimoja au viwili kwa mwezi sio mbaya endapo utavielewa kuliko kusoma vitabu 50 kwa mwaka na bado havijakusaidia wala hujavielewa.
HAIJALISHI VITABU VINGAPI UMESOMA BALI NI VITABU VINGAPI UMEVIELEWA
MDAU

NAUNGA MKONO HOJA KWA 100%..
Kusoma vitabu vingi bila kufanyia kazi ulichokisoma ni wastage of time and money..
Kusoma ni kuelewa,kufanyia kazi,mwishowe upate tija ya kile ulichokisoma..
Ila wabongo wengi sasa hivi wanafanya usomaji vitabu kama fashion flani hivi ila ukimuangalia huyo anaejifanya msomaji hafanyii kazi hicho anachokisoma..