Mchekesaji alieukwaa Urais kimasihara!

Mchekesaji alieukwaa Urais kimasihara!

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
1,568
Reaction score
3,428
Iko wazi, Raia wengi siasa za majitaka na zile formal politics zimewachosha sana na kila wakisikia mwanasiasa anazungumza wanahisi ni uhongo mtupu. Raia wanataka kusikia kitu kipya cha tofauti.

Hapa Ndio mchekeshaji wa majuu akaona fursa ya kujaribu bahati yake, akaunda chama chake fasta, akabuni alama ya dole la kati kama nembo yake ikiwa kama ishara ya kukipa chama tawala shiit kwamba hawana jipya na wanataka kuwadanganya tena wananchi kwa muhula mwingine.

Njemba ikawa kila kampeni zake yenyewe inapiga comedy za kukichana chama tawala mwanzo mwisho na watu wanajaa vibaya. Na ikawa inawasisitiza watu wasikipe chama tawala kura ili kukiadhibu kijue kwamba kinapaswa kuwajibika kwa wananchi wake vyema na sio uchaguzi tu ukikaribia.

Raia wakalielewa jamaa wakalipa kura kibao za ndio likatinga ikulu na mabuti yake makubwa ya kuchekeshea na mavitambi ya kuweka manguo. [emoji16][emoji16]

Maisha hayana formula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chalii umesoma hata vidudu kweli?

Unatoaje habari unashindwa kuitaja nchi,jina la chama na mgombea mwenyewe?
Idle mind Ndio kazi yenu mnataka mtafuniwe kila kitu. Nenda Google mimi nimekupa hints tu, katafute in depth mwenyewe.
Silipwi hapa JF hadi nitoe reference zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi dogo anamzungumzia yule jamaa wa Ukraine anaitwa Volodymyr Zelensky nimewahi msikia...
Screenshot_20190219-143639.jpg
 
Iko wazi, Raia wengi siasa za majitaka na zile formal politics zimewachosha sana na kila wakisikia mwanasiasa anazungumza wanahisi ni uhongo mtupu. Raia wanataka kusikia kitu kipya cha tofauti.

Hapa Ndio mchekeshaji wa majuu akaona fursa ya kujaribu bahati yake, akaunda chama chake fasta, akabuni alama ya dole la kati kama nembo yake ikiwa kama ishara ya kukipa chama tawala shiit kwamba hawana jipya na wanataka kuwadanganya tena wananchi kwa muhula mwingine.

Njemba ikawa kila kampeni zake yenyewe inapiga comedy za kukichana chama tawala mwanzo mwisho na watu wanajaa vibaya. Na ikawa inawasisitiza watu wasikipe chama tawala kura ili kukiadhibu kijue kwamba kinapaswa kuwajibika kwa wananchi wake vyema na sio uchaguzi tu ukikaribia.

Raia wakalielewa jamaa wakalipa kura kibao za ndio likatinga ikulu na mabuti yake makubwa ya kuchekeshea na mavitambi ya kuweka manguo. [emoji16][emoji16]

Maisha hayana formula.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tulimpata mpiga pushups lakini baadaye akageuka na kuwa mtekaji, muuaji, kiburi, madharau, mpendasifa n.k.
 
kama sisi tulivyowahi kumchagua mtu kwa kura nyiingi eti kisa "tabasamu" lake tu, kumbe huku nyuma kabeba genge la wahuni !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom