naogopa tufani ya Lisu

naogopa tufani ya Lisu

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Ni kweli na ni Dhahiri TUFANI Ya lisu yaja

Hofu imetanda kutokana na mengi

-Ufisadi 1.5 Trillion
- Mafao ya wastaasfu kuporwa

-Kufyweka Fao la kujitoa

- Wakulima kunyanyaswa - 2016 Suala la Sukari, ikapanda kutoka 1600 hadi 2400-- ilikuwa katazo kuuza Mahindi nje, mwaka 2017...Ikaja Mbaazi..2018 na sasa ni Korosho

- Hakuna ajira mpya tangu mwaka 2015...Kilio kipo kila nyumba.wengine wanalala sebuleni kwa Shemeji, mjomba n.k

- Wafanyakazi hawajaongezewa mishahara wala madaraja

-Uchumi kuporomoka --shs dorooo

- Bomoa boma

Kodi ya kichwa/machinga

Kuvamia bureau de change na jeshi

Wao wanapamba kwa sifa za kijinga za SGR, Stiglers na Bombadier
 
Ni wepesi kama Karatasi

Wanabebwa na Polisi na Tume ya uchaguzi

Hata hivyo, hii tufani itaharibu vyote

Kwani Polisi hawaja watu/Ndugu wanaoteseka

Nguvu ya wananchi kwa wingi wao, ni kama dhoruba
 
Serikali yoyote iliyojiandaa kufanya maovu hujiandaa kwa kuua uhuru wa habari na uhuru wa kukusanyika na kufanya mikutano.
 
Back
Top Bottom