Mashabiki wa mpira wanawadharirisha mama zetu,Watetezi wa wanawake mko kimya.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,676
2,000
Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke?
Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani.

Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za binadamu mko kimya,hata hapa jf mko kimya.

Huo udharirishaji ungefanywa na viongozi wa serikali ungewaona chadema/TL na human ridht.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,816
2,000
Tia mimba mwanafunzi alafu uone kitakachofuata.,hata km karidhika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke wa kuolewa ni mtu mzima na anapaswa kutambua haki zake tofauti na mtoto mdogo mwanafunzi anayeweza kurubunika kutokana na uchanga wa akili yake.
Mwanamke wa kizaramo kubetiwa hata kwenye bao yeye rahaaa, ndo anaona anapendwa hivyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zabron Hamis

Verified Member
Dec 19, 2016
2,330
2,000
Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke?
Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani.

Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za binadamu mko kimya,hata hapa jf mko kimya.

Huo udharirishaji ungefanywa na viongozi wa serikali ungewaona chadema/TL na human ridht.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
Y chadema/tl?? Unamaanisha kuwa wadhalilishaji wa wanawake, lazima watokee upande wenu sio??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,995
2,000
Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke?
Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani.

Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za binadamu mko kimya,hata hapa jf mko kimya.

Huo udharirishaji ungefanywa na viongozi wa serikali ungewaona chadema/TL na human ridht.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
GOD BLESS THE WOMEN!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,099
2,000
Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke?
Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani.

Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za binadamu mko kimya,hata hapa jf mko kimya.

Huo udharirishaji ungefanywa na viongozi wa serikali ungewaona chadema/TL na human ridht.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa makubaliano binafsi serikali iingilie kwa nini... Kwani huyo mke ni wa mume wake ama ni wa serikali? Kwani kaolewa na serikali ama mume wake? Yanga bana
IMG-20190216-WA0212.jpeg
IMG-20190217-WA0000.jpeg

Jr
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom