Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huku mtaani kwetu kuna kijana mmoja alikuwa anasumbuliwa na tumbo. Kijana huyo alitokea huko mikoani kuja kutafuta maisha. Alifanikiwa kupata vibarua vya hapa na pale lakini havikukidhi maisha...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000. Ña yeye kwakuwa...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Ni wakati sasa Serikali kupitia wizara ya elimu inafaa kuliangalia hili swala la mikopo ya elimu ya juu(vyuo vikuu) Wanafunzi wote wanaomaliza kidato cha sita na kujiunga na vyuo vikuu inapasa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana nimeona habari toka Basata ikitoa taarifa kuwa imesitisha usajili wa msanii Dudubaya labda kutokana na maneno aliyoongea juzi japo hakumtaja mtu lakini mwisho wa siku tukubali tu Dudubaya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika wimbo wa INAUMA Twenty Percent msanii wa kizazi kipya amesema hivi..Nanukuu "Valia magwanda kuongoza taifaaaa,,, natabiria utakuja kuziba nyufaaa,,,nakuhusia usije kubweteka...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Nipo kwenye kikao cha wazazi,tunahitaji just 56,000/- kila mwezi ili zitumike kulipa bill ya maji kwa mwezi.Shida mwl mkuu anakataa kuridhia wazazi tuchange kwani alishawahi itwa kwa DC na kupewa...
0 Reactions
4 Replies
780 Views
Kitabu kitakatifu bibilia kimeweka rekodi ya mabaya na mazuri ya watakatifu wanaosemwa humo ili tujifunze. Vitabu vingi vya kihistoria vimeweka mabaya na mazuri ya wababe wa enzi hizo ili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi karibuni Mkuu wa mkoa wa DSM aliwahi kutamka kuwa ameondoa amri iliyokuwa ikiwataka wafanyabiashara kufungua biashara kuanzia saa nne asubuhi kwa siku za jumamosi ili kupisha zoezi la kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wafanyabiashara wadogo mkoani Arusha wakikataa kutoa ushuru baada ya kupewa vitambulisho vilivyotolewa na Rais Wafanyabiashara hao wamesema hawawezi kununua kitambulisho, bado waendelee kulipishwa...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Ni zaidi ya miaka miwili sasa NSSF imekuwa ikishindwa kutulipa wazee wastaafu pensheni zetu za mwezi, mwanzo walianza kwa kulisingizia ushirika la Posta, baadaye wakaja na hoja ya uhakiki na...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji simu ya mezani ambayo unaweza weka line hizi za kawaida kwa ajiri ya ofisi, kama nitapata na bei zake nitashukuru!!
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Baada ya kusimamishwa kazi serikalini kwa Tuhuma za Vyeti feki miaka mitatu iliopita sijapata Ajira sehemu yoyote ile Kwa kweli katika kipindi hichi nimejifunza mambo mengi sana kuhusu Maisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni hatari tumeyajua Mabifu Mengi yaliokua yanafukuta ambayo mwanzoni hatukuyafahamu lakini ambayo mengi sasa yanaenda kufa lakini pia vimeibuliwa viapo vikali na nadhiri zilizotoka miaka ya nyuma...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaaa linaakilii kinomaa ya utendaji. Wewe mwana JF unadhani jamaaa anaweza kuwa Waziri wa sector ipi!???! Kati hizi, Fedha, Nishati na Madini au Ujenzi!!!
3 Reactions
154 Replies
13K Views
Imekuwepo mifumo mingi ya kiuchumi na kisiasa ambayo mataifa mbalimbali, ya mefuata ili kujiletea uchumi na ustawi bora wa mataifa yao. Wengine wamekuwa ni wademokrasia, mapepari, magaidi...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Fatma Karume apingana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Harrisson Mwakyembe aliyeagiza hatua zichukuliwe dhidi ya Mwanamuziki...
3 Reactions
140 Replies
27K Views
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslim amepiga marufuku askari wa kikosi hicho kusimamisha magari ya abiria na kusubiria wafuatwe na makondakta akisema hilo linachangia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni sana ndugu zangu. Nyie ni watu wapole sana ,nidhamu yenu ni ya juu kabisa sijapata kuona. Mmepewa jukumu la mhimu la kuandaa taifa huko shuleni. Taifa linawategemea . Kazi yenu ni nyeti...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Historia inaonesha kwamba Mayahudi (Jews) ni watu wanaolaumiwa kwa kila jambo baya linalotokea duniani; kuanzia kwenye individual level mpaka kwenye State level. Matatizo haya yalianzia Mid...
0 Reactions
186 Replies
25K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Bukoba leo imeanza kushikiliza mashahidi wa upande wa Jamhuri wa kesi ya mauaji inayowakabili watu watatu wanaotuhumiwa kuwaua kikatili kwa kuwakata makoromeo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…