Hivi Utamaduni wetu unakataza kujadili mabaya na mazuri ya marehemu ili tujifunze kwa mapana ?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,850
16,053
Kitabu kitakatifu bibilia kimeweka rekodi ya mabaya na mazuri ya watakatifu wanaosemwa humo ili tujifunze.
Vitabu vingi vya kihistoria vimeweka mabaya na mazuri ya wababe wa enzi hizo ili tujifunze kutoka katika mazuri na kuepuka kurudia mabaya waliyotenda.

Utamaduni wetu unasemaje juu ya marehemu maarufu ambao wanaacha mafunzo makubwa ya miamaisha kwa jamii, hasa kujifunza kwa mazuri yao na kuepuka mabaya yao.

Je ni kosa kusema mabaya na mazuri, na ni sahihi kusema mazuri tuu.

wataalam wa utamadunisho karibuni kwa maoni mbalimbalimbali tuelimishwe sisi wenye ombwe la maarifa ya kitamaduni maana tumekulia mijini enzi za dunia kijiji.
 
Mkuu, swali la kumuuliza msomi kama Mwakyembe ni kwamba, anaamuru Dudubaya akamatwe ili ashitakiwe kwa sheria ipi?
 
yawezekana tamaduni zinaruhusu. Utamaduni wa mtanzania una nguvu kuliko makaratasi.
 
Tamaduni hazikatazi ila ka muda kapite kidogo. Ni ustaarabu. Yaani mtu kavuta tu na wewe ndo hapo hapo unaanza kuleta maneno machafu.

Acha ndugu, jamaa na marafiki waomboleze, wazike angalau wamalize 40.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu kitakatifu bibilia kimeweka rekodi ya mabaya na mazuri ya watakatifu wanaosemwa humo ili tujifunze.
Vitabu vingi vya kihistoria vimeweka mabaya na mazuri ya wababe wa enzi hizo ili tujifunze kutoka katika mazuri na kuepuka kurudia mabaya waliyotenda.

Utamaduni wetu unasemaje juu ya marehemu maarufu ambao wanaacha mafunzo makubwa ya miamaisha kwa jamii, hasa kujifunza kwa mazuri yao na kuepuka mabaya yao.

Je ni kosa kusema mabaya na mazuri, na ni sahihi kusema mazuri tuu.

wataalam wa utamadunisho karibuni kwa maoni mbalimbalimbali tuelimishwe sisi wenye ombwe la maarifa ya kitamaduni maana tumekulia mijini enzi za dunia kijiji.
Kama ni utamaduni basi watani wa marehemu wanatenda kosa la jinai.
 
hivi mambo ya utani bado yapo?
nilidhani utamaduni wa utani umeshapita. maana mambo ya utani yanaudhi sana kama hujui kuwa jamaa ni watani.
je? utani unaruhusiwa hadi mitandaoni au palepale msibani mubashara.
tamaduni zinasemaje hapo.
 
Back
Top Bottom