Uchangiaji wa elimu kipindi hiki cha Elimu bure.

Uchangiaji wa elimu kipindi hiki cha Elimu bure.

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,193
Reaction score
915
Nipo kwenye kikao cha wazazi,tunahitaji just 56,000/- kila mwezi ili zitumike kulipa bill ya maji kwa mwezi.Shida mwl mkuu anakataa kuridhia wazazi tuchange kwani alishawahi itwa kwa DC na kupewa onyo kali hivyo hataki kusikia habari ya michango.
Sasa sisi tunajiuliza watoto wetu watakaa kwenye hatari hii hadi lini.

Wana JF naomba mtusaidie mimi na wazazi wenzangu totuke hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
michango peleka kwa Mkurugenzi mtendaji.


walimu msipokee hela, fundisheni tu.
 
Hakuna namna. Inawabidi mkubaliane tu na huyo mwl mkuu maana na yeye ni binadamu hivyo hana budi kuulinda ugali wake.
 
Ukiona kuna cha bure jihoji mara 2 ,unaweza ukawa una lipia ×2 ,×3
 
Back
Top Bottom