Msaada: Wapi nitapata simu za mezani??

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,729
2,000
Wakuu nahitaji simu ya mezani ambayo unaweza weka line hizi za kawaida kwa ajiri ya ofisi, kama nitapata na bei zake nitashukuru!!
 
Jagood

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
2,051
2,000
Kuna tangazo niliwai liona kwenye App ya kupata ni la mwaka jana 2016 wameweka mawasiliano yao waweza jaribu.
71b1d940ee9d20d5d7a660cfc29a5e4d.jpg

f209cd5e9670603063eb64436fd7f85d.jpg
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,208
2,000
Zipo niliona wanauza 75K
Hii maana yake elfu 75 au laki saba na nusu? Zinauzwa wapi na inakubali line yoyote?
Nakumbuka mwaka jana nilizunguka maduka yote hadi IBM miaka mlimani city mall sikupata. Sanasana halotel walikuwa na zenye kukubali line zao tuu na bei ilikuwa tsh laki 3 halafu hakuna warranty.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,133
2,000
Hii maana yake elfu 75 au laki saba na nusu? Zinauzwa wapi na inakubali line yoyote?
Nakumbuka mwaka jana nilizunguka maduka yote hadi IBM miaka mlimani city mall sikupata. Sanasana halotel walikuwa na zenye kukubali line zao tuu na bei ilikuwa tsh laki 3 halafu hakuna warranty.
Hiyo ni 75,000 tu na niliona tangazo lao fb.Ngoja nitafute nitakujulisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom