Msiba huu Tutashuhudia Mwisho Wa Mabifu Ya Zamani Na Mwanzo Wa Mabifu Mapya

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,546
Ni hatari tumeyajua Mabifu Mengi yaliokua yanafukuta ambayo mwanzoni hatukuyafahamu lakini ambayo mengi sasa yanaenda kufa lakini pia vimeibuliwa viapo vikali na nadhiri zilizotoka miaka ya nyuma na Leo kuonekana kua ni kama nadhiri mpya ambazo huenda zikawasha moto ama kuendeleza bifu zito na waliobakia
Mkusanyiko huu umekusanya maadui toka angle tofauti na kuwakutanisha macho kwa macho..
Wengine wanawaalika kuja msibani walioonekana kujitenga hata kabla ya saa 24 kupita!hili laweza chochea bifu jipya na kuwa na mlolongo Wa nyoyo za visasi na hasira!sio jambo jema.

Mwito kwetu wote jamani tumgeukie mungu na kusamehe yote tujifunze na kuelewa kuwa sisi sote ni ndugu na ndio maana tunakusanyika hapo kumsindikiza ndugu yetu mpendwa wetu tukiwa hatujui ni nani kati yetu atakayefuata safari hii ya milele baada ya Ruge

Upumzike kwa amani mpendwa Wa watu Ruge Mutahaba'The Fighter'
Sisi tulikupenda lakini mungu slikupenda zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Diamond anajulikana sana huko Tanzania eeee! Aisee, hadi anaalikwa msibani! Wonders shall never End.
 
"Tumgeukie mungu" huyo mungu mwenyewe anabifu na shetani!
 
Kumbe Diamond anajulikana sana huko Tanzania eeee! Aisee, hadi anaalikwa msibani! Wonders shall never End.
Ni ajabu imekuwa kama USA watu wanapewa mialiko ya misiba hii ina maana utamaduni wetu unakufa kwa kasi ya 10G
 
kwenda au kutokwenda kwa diamond ni uamuzi wake binafsi, akienda atafungua ukurasa mpya na clouds, asipoenda anakua anaendeleza pale walipoishia.
 
Mange kimambi kawatia ujinga kwenye hili #kusaga hausiki wcb yupo mwengine mwenye share ila siyo kusaga kama mlivyo aminishwa na kukariri
Wenyewe wanasema ni ushindani wa kibiashara hakuna bifu hapo
Kwenda msibani au kutokwenda huo ni uamuzi wake.
Kusaga ana share pale WCB.
Kama kulaumiwa anatakiwa alaumiwe Na YEYE.
TUSIWE WASAHAULIFU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watajuana wenyewe.
Unakumbuka birthday ya diamond aliyofanya kwenye boti?
Kama diamond angekuwa na bifu na kusaga.kusaga asingeenda.
Kama bifu la diamond ni la kibiashara kusaga pia asingeenda.ila kama diamond na ruge wana bifu lao binafsi.hayo ni ya kwao.
Tuwaache wenyewe
Mange kimambi kawatia ujinga kwenye hili #kusaga hausiki wcb yupo mwengine mwenye share ila siyo kusaga kama mlivyo aminishwa na kukariri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom