Chadema wimbo huu wa 20% mmeutafakari??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wimbo huu wa 20% mmeutafakari???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mcubic, Aug 5, 2012.

 1. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,165
  Likes Received: 4,195
  Trophy Points: 280
  Katika wimbo wa INAUMA Twenty Percent msanii wa kizazi kipya amesema hivi..Nanukuu
  "Valia magwanda kuongoza taifaaaa,,, natabiria utakuja kuziba nyufaaa,,,nakuhusia usije kubweteka sifaaa,,,siunachekshia raia tunavyotesekaaa....."

  Watanzania tupo nyuma yenu msituangushe.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  sija wahi kuusikia unaweza kutuwekea hapa..
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  20% CDM damu pamoja na swahiba wake Afande sele.
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Lyrics sensible but them being composed by a marijuana smoker means they are smelling of nothing than marijuana.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hata tabia zao zinafanana na mwenyekiti wa taifa hasa pale kwenye majaniiiii
   
 6. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  You must've a very sensitive nose!!All i smell is the sweat of a common tanzanian trying to make a point via the only thing that he is good at....Music.
   
 7. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hata Bob Marley alivuta sana bangi, vp nyimbo zake mpaka leo?
   
 8. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijausikia huo wimbo itabidi niutafute
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kweli zimefanana sana naye hadi kusafiri mara kwa mara!
   
 10. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mtazame 20per kwa jicho la kisanaa na kifasihi.Ukimtazama kwa jicho la kivuta bangi utakosea na hutamtendea haki. na ndio maana dunia haimlaumu Bob marley kwa uvutaji bangi. Ni kwa sababu inamtazama kwa jicho la kifasihi!
   
 11. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Ndiyo huyo aliyekamatwa akivuta bangi nangurukuru mkoani Lindi?
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kesi yake iliishaje?
   
 13. n

  najua JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  watz ndio maana hatuendelei ,bob marley akivuta fresh ila sababu 20 inakuwa noma. thamini cha nyumbani na kama kizuri sifia
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,802
  Likes Received: 36,834
  Trophy Points: 280

  Ukiuliza 2 x 2 ni ngapi?
  Alafu mtu mwenye kibiongo akijibu kuwa ni 4
  Hupaswi kukataa jibu lake just kwa sababu aliyetoa jibu hilo ni mtu mwenye kibiongo.
  Angalia mantiki ya alichosema.
   
 15. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280

  Hata sijui iliishia wapi mdau!!
   
 16. U

  Uswe JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Radhia Sweet, andika kiswahili
   
 17. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Unajua nini wewe?
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Hata kuchekacheka kijingajinga!
   
 19. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kama chairman anakula jani na kakifikisha chama hapo kilipo na aendelee kuvuta jani!
   
 20. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  poor mentallity!
   
Loading...