Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shamu, Sep 5, 2009.

 1. S

  Shamu JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Historia inaonesha kwamba Mayahudi (Jews) ni watu wanaolaumiwa kwa kila jambo baya linalotokea duniani; kuanzia kwenye individual level mpaka kwenye State level.

  Matatizo haya yalianzia Mid East; ambapo Waislamu na Wakristo walikuwa wanawalaumu Mayahudi kwa kuwaua mitume ya mungu. Kwenye 7th century ikaendelea hadi Europe.

  Europe walipokuwa na matatizo makubwa ya disease kama Black Death; ambayo iliuwa karibu nusu ya population ya Europe, walikuwa wanawaulumu Mayahudi kuwa ndiyo chanzo cha hayo maradhi. Nchi kama Germany, Russia zilikuwa zinaonesha hadharani chuki yao dhid ya Mayahudi.

  Je kuna SIRI gani inayofanya race zote duniani kuwachukia Mayahudi? Kama Mayahudi ni smart ndiyo maana watu wanawachukia; kwanini watu wasiwachukie Wajapan ambao ni magenius?
   
 2. J

  John10 JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo kubwa linalosababisha hii chuki ni kwamba hao mayahudi ni watu ambao wapo selfish sana. wanajitenga, wanafanya mambo ya kibiashara wenyewe kwa wenyewe nk. hata kwenye biblia ishazungumzia kwamba walimuua yesu, hii inachangia kuongeza chuki pia.
   
 3. H

  Haki JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa mayahudi (jews) ni watu wa dhulma sana, ndiyo maana watu wanawachukia. angalia michael jackson, mike tyson, walikuwa wanaongozwa na Waisrail matokeo yake ni wamefilisika. kuna tetesi kwamba Waisrael walimpa sumu ya brain muhammad ally ili asizingumzie maslahi ya watu weusi nchini marekani. hawa jamaa (Waisrael) ni watu hatari sana, wamefukuzwa kila nchi wanayoishi, kazi kwao na dhulma yao.
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Chuki tu ambazo haina maana . Na si kweli kwamba wana laumiwa Dunia nzima .Mbona kama ni kujitenga wako wahidi TZ ambao watakutumikisha tu na kwenye familia huwezi kuingia wako so closed .Kuna ajenda hapa ila nadhani jamaa they are real wakisema wanakuja wanakuja kweli tuhuma zingine zote dhidi hazisaidii Tanzania kupiga hatua toka ilipo.Mada za aina hii zina mahala pake.Hapa ni mahala pa Tanzania pekee naamini hivyo .
   
 5. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  nitakubariki atakayekubariki, na kumlaani atakaye kulaani ewe israel-source the bible  ole wenu mnaowalaani wayahudi mimi nitawabariki milele
   
 6. H

  Haki JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna ushahidi kwamba hawa jamaa ndiyo wanaosababisha matatizo haya ya dunia. angalia matatizo ya uchumi wa dunia ndiyo utajua kwamba dunia nzima inawalaumu hawa jamaa. kuanzia maddof, na wenzake, organs business, drugs nk.
   
 7. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wayahudi ndio magenius statistic yako haiko sahihi.

  Wanachukiwa kwasabu wao ni chaguo la Mungu.
   
 8. S

  Shamu JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Data zinaonesha ni Wajapan ndiyo Magenius. Hizi data zinaangalia vitu kama kama society inavyoishi, vitu walivyogundua, technology, nk. Kwa mantiki hiyo ukimuuliza hata mtoto mdogo atakwambia ni Wajapan. Vitu vyingi vya electronics ambavyo vinahitaji uwe genius kuweza kutengeza vinatengezwa Japan. Kuanzia video game, high tech cars, robot nk.
   
 9. J

  John10 JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi Waafrika (watu weusi) ndiyo chaguo la mungu. Tumechaguliwa tuishi kwenye maisha magumu, tumekuwa Watumwa maisha yetu yote ili tuwasaidie watu wengine, vita vya kila siku. na tumepewa rangi nyeusi ili tuweze kuhimili shida zote. Wenzetu wazungu hawawezi kusavaivu afrika. Kwa hiyo sisi Waafrika ndiyo chaguo la mungu.
   
 10. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni Historia na pia ni mapango wa kibibilia kuhusu ile kuchukiwa!! unaweza kutazama hata wale wapiganaji wa Kichungaji kama Pastor John Hagee na pia huyu naye ni mteteaji mkubwa sana katika Uyahudi na pia kuna agenda maalumu katika hili na huu ni mpango toka wa Mungu yeye mwenyewe toka zamani sana ndio maana hata Hilter aliwachoma moto Wayahudi
   
 11. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kibiblia, wale majaa wamejilaani au wamelaaniwa baada ya kukataa kumpokea Yesu. Soma Mt.27:20-26 wakati wayahudi wakimjibu Pilato kuwa damu yake (Yesu) iwe juu yao na watoto wao. Laana hiyo imewakamata. Na historia yao inaonesha jambo hilo: kuchukiwa na wengi
   
 12. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Generalization ni kitu kibaya sana unapotoa hoja. Race zote zinawachukia according to whom? Hiyo individual level unamaamisha wao kwao wanalaumiana?
  Cooked datas, Michael Jackson kafilisika? Kama Tyson ananunua magari mia mbili ya kifahari wakati ataendesha moja utaliwekaje hilo kwa Wayahudi? Parkinson desease imekuwa sumu siku hizi? Na tangu lini Muhammad Ali alikuwa mwanaharakati ukiondoa kukataa kwenda Vietnam. Maslahi ya weusi yanawahusu nini Wayahudi. Na kama wanachuki kiasi hicho na weusi kwa nini wawapokee Waethiopia?

  Drugs, bila shaka Columbia nako kumejaa Wayahudi, Afghanistan na waitaliano nao ni Wayahudi.

  Unachanganya mambo ndugu. Kunakugundua na kutengeneza. Bila shaka yule Mbedule wa Iringa mwenye Leyland Albion ya karne ya ishirini ni genious.

  This is a good one.
   
 13. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu hebu baelezee haba bandugu
   
 14. M

  Mkandara Verified User

  #14
  Sep 5, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Shamu,
  Mkuiu unajua hili ni swali zuri sana, lakini jibu lake ni rahisi sana ila itategemea na imani yako ya dini kwani tunapofikia maswala ya imani ya dini wengi wetu Akili hu seize zikashika mgando hadi friji lifunguliwe..yaani hatuwezi kufikia muafaka katu hata kuwepo na ushahidi wa kisayansi...

  Wayahudi wanachukiwa kwa sababu kama hizi.

  1. Kwanza kabisa ni Imani ya watu kuamini kwamba Wayahudi ni taifa Teule la Mungu...hapa ndipo utata unapoanszia.. Yaani dini zinatufundisha kuwa Mungu aliwapendelea Wayahudi kuliko mataifa yoote akawapa madaraka juu yetu sote ... Asilimia 50 au zaidi ya binadamu wote duniani, tunaamini hivyo.. wayahudi ni taifa teule...Hii hesabu ingekuwa kubwa zaidi kama sii Populatrion kubwa ya China na India kuabudu Budha, lakini hawa watu hawana nguvu ya Utawala hivyo hawawezi kusumbua uhalali wa hoja hii...

  Sasa ikiwa Mungu mwenyewe, mwenye uwezo kuliko viumbe wote hakubariki au kuona umuhimu wa sisi bin Adamu wote kuwa sawa!... Huu usawa unaotangazwa na dini zetu, UN na vyombo mbali mbali ni usawa gani? na unatokana na kitu gani!.. Utasikia kuwa Mungu anatupenda wote sawa hachagui mtu wala kupendelea wakati ni dini hizo hizo zinatuambia kwamba Mungu aliwapenda Wayahudi...JEWS.

  Kutokana na somo hilo mkuu wangu, somo ambalo wapo watu wengi huliona kama changa la macho..Na kabla hatujafiria vizuri Jews walichukua advantage ya imani hiyo kwa kupewa wadhifa huo mkubwa toka kwa muumba.. na hakuna tena kiumbe ambaye anaweza ku challenge au kuwa against Mungu hata kwa kufikiria tu..Na hata kama utakuwa na ushahidi hakuna mtu atakaye kusilikiliza!.. vitabu vya Mungu vimekwisha sema!

  Kuamini kuwa wao ni Taifa teule la Mungu, tayari tumekwisha jijaza Ujinga ambao hauwezi kupata ushindani wowote wa kifkra au kisayansi yaani ni sawa na mbwa aloona Chatu..Na walivyokuwa wajanja ukitaka kuinua mkono dhidi yao hudai haraka haki ya binadamu na kwamba sisi binadamu wote ni sawa na tunastahili kuwa treated sawa..,Lakini wakati huo huo, kwa kila wanalofanya wao linatokana na wao kuwa taifa teule la Mungu, mhivyo mataifa mengine yote hayana usawa na wao..

  Katika mchanganyiko wa mambo haya ndio utaona chuki inajengwa vipi... Usajua tena ni sawa na Mtoto wa JK ambaye tunaweza sema kabarikiwa kuwa mtoto wa JK, mwache ale kuku zake lakini akitumia vibaya nafasi hiyo, akianza kunyanyasa walio chini kwa sababu tu yeye ni mtoto wa JK hapo ndipo chuki inapoanza.. ndipo watu huanza ku question hata DNA na mengiyo mengi ambayo yanaweza tafsrika kama ni Chuki. Kifupi hakuna watu wanaowachukia Wayahudi isipokuwa ni kutokana na matendo yao, jinsi wanavyo abuse nafasi ya kuwa wao ni taifa teule la Mungu ndio sababu iloanzisha chuki dhidi yao..

  Hivyo ni dini zetu zinazotuweka ktk wakati mgumu au zinazo waweka wayahudi ktk wakati mgumu.. Hakuna kati yetu anayejua ukweli zaidi ya maandishi ambayo yaliandikwa na binnadamu na source yake ni hao hao Wayahudi..
  Hivyo yawezekana kabisa kuwa sisi wote NDIVYO TULIVYO yaani tunaamini wao kuwa ni taifa teule kutokana na maandishi ya Kuran na Biblia kumbe ukweli ni kwamba Wayahudi ni Taufa ambalo lime Laaniwa.. na yote tunayoyaona ni kazi ya shetani kwani shetani pia ana nguvu kuliko sisi binadamu.

  Mtanisamehe wakuu zangu mimi Mkandara, siamini kabisa kama Wayahudi ni taifa teule.. I can't swallow that, unless mnataka kuambia kwamba binadamu wote sii sawa. lakini mnapokuja na haya maswala ya Usawa wa binadamu wakati mimi siuoni, mkaweka sheria za haki kwa viumbe wakati huo huo mnaamini kuwa Wayahudi ni Taifa teule la Mungu... jamani hapa nashindwa kabisa kukubali sheria za UN au chombo chochote cha dini.

  Tuchague moja.. Wayahudi ni taifa teule, hivyo tujue kwamba Mungu katuumba kwa grades, hivyo hakuna usawa wa binadamu na kila mmoja ajue wapi kasimama kama taifa la Mungu otherwise we are all Equal na Myahudi ni binadamu sawa na biadamu wengine wote hana uteule isipokuwa mteule ni yule anaye Practice Kuabudu Mungu mmoja. Huyu ndiye Myahudi aliyesemwa ktk vitabu, ndiye nayemjua mimi na anaweza kuwa wewe, mimi, Jew, Muislaam, Mkristu au dini nyingine yoyote kwa jina la dini ila Matendo na ibada zake ndizo zinazomfanya yeye kuwa Myahudi si swala la nasaba, ukoo, sijui mtoto wa mwanamke na bla bla bla nyingi za kijinga...
   
  Last edited: Sep 5, 2009
 15. Mukuru

  Mukuru Member

  #15
  Sep 6, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni watu wengi kukubali hizi dini za mapokeo na kuzitukuza kushinda hata wenye asili ya hizo dini. Nani anayeamini katika upendeleo kwa Mwenyezi Mungu? Vyote ni viumbe vyake, uwe mswahili, mwarabu, myahudi, mkavirondo, mdosi, mchina n.k. Kabla hao waarabu na wazungu hawajaingilia imani tulizokuwa nazo hakuna aliyekuwa anajua masuala ya dini za wayahudi, waarabu n.k. Baada ya kupoteza imani na tamaduni zetu...tumekuwa mstari wa mbele kuhalalisha dini za mapokeo.

  Tumetawaliwa maeneo yote mpaka kwenye bongo zetu.
   
 16. J

  John10 JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia na wewe unataka watu waabudu mayahudi. kwanini husemi "ole wenu nyinyi mnaowaita manigger". kuwa mzalendo acha mawazo ya kitumwa hayo. hii ndiyo kauli uliyotakiwa uitumie "ole wenu nyinyi mliowafanya watumwa watu weusi"
   
 17. s

  shabanimzungu Senior Member

  #17
  Sep 8, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NEED I SAY MORE ABOUT THE JEWS?

  Results from a recent opinion poll show at least one third of Americans more or less blame the Jewish community for the current economic recession.

  A survey by the Boston Review in its May/June issue indicates some 38 percent of the non-Jews in the United States blame the Jews in some way for the financial crisis, while an estimated 25 percent blame the Jews a moderate amount or more for the global economic slump.

  The study was conducted by Neil Malhotra, Assistant Professor of Political Economy in the Graduate School of Business at Stanford University, and Dr. Yotam Margalit from the same university.

  2,768 American adults participated in the survey.

  The survey further suggested a considerable number of participants explicitly opposed to tax cuts for Wall Street giants as soon as they were introduced to be affiliated with Jewish financiers such as infamous fraud convict Bernard Madoff.

  The Jewish respondents surprisingly displayed almost the same results when questioned on the same issue, staging more federal support for state governments and tax breaks for the middle class rather than big business.

  The research also notes that 32 percent of the US Democrats attributed at least moderate blame to the Jews despite the fact that Jews are a central part of the Democratic Party's electoral coalition.

  The financial crisis in the US has swept off nearly six million jobs since the start of the recession in December 2007 with American taxpayers, the working class in particular, growing a grudge against bailed-out businesses.
   
 18. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  dah! hiyo ndy naskia leo.
   
 19. t

  tarita Senior Member

  #19
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kubalini kwamba mkuu wa ulimwengu huu ni shetani,alisema Yesu.Wayahudi ni chaguo la Mungu, watu wa Mungu. Nadahani unaweza kuelewa kwa nini ulimwengu unawachukia.

  Ulimwengu umejaa chuki, ni kawaida kwa jambo lolote la shetani.Ila yeye pamoja na wafuasi wake wanawachukia zaidi Waisraeli,watu wa Mungu. Yeyote aliye wa ufalme wa mbinguni anawapenda na kuwabariki. Baraka za Mungu zina chanzo kwa Wayahudi. Si bahati mbaya Yesu Kristo, Manabii wote na mitume wote walikuwa Wayahudi.

  Kama hamjui mtaanguka ktk laana bila kujuwa.
   
 20. P

  Preacher JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2009
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukisoma katika kitabu cha Biblia - kuanzia uazao wa Adamu na Hawa - hadi kufikia IBRAHIM ambaye alimzaa ISAKA na YAKOBO -huyu YAKOBO alipata kibali kwa Mungu baada ya kuomba abarikiwe na alibarikiwa akaitwa ISRAEL - hapo ndipo chimbuko la hao binadamu kuitwa WAISRAEL hadi leo - WAISRAEL walimwamini Mungu tofauti na wanadamu wengine waliekuwepo nyakati hizi ambao walikuwa na miungu mingine mingi na automatically walikuwa wamelaaniwa na ISRAEL kubarikiwa.

  Kati ya wana 12 wa Yakobo kulikuwa na kijana wake (last but one) aliyeitwa YUSUFU - huyu aliuzwa na ndugu zake na kupelekwa utumwani MISRI - mengi yalitokea ukisoma kwenye BIBLIA - hatimae YUSUFU alikuwa WAZIRI MKUU katika nchi ya MISRI - YAKOBO na WANAE 11 WALIHAMIA MISRI WAKAISHI NA KUZALIANA NA TAIFA HILI LIKAWA KUBWA -YUSUFU alifanya mengi ila FARAO aliyemjua YUSUFU alipokufa, alikuja FARAO mwingine Ambaye aliwatumikisha kwa UTUMWA - lakini kwa mashindano makubwa - Mungu aliwakomboa na kuwatoa MISRI - akawapa nchi ya AHADI ambayo wanaishi sasa.

  HATA HIVYO KUNA TAIFA LINGINE AMBAPO IBRAHIM KABLA YA KUMZAA ISAKA - ALIZAA NA MJAKAZI WAKE MTOTO AITWAE ISHMAEL na uzao wa ISHMAEL - ndio WAARABU wa leo - NDIO MAANA ISRAEL NA WAARABU wanagombania urithi wa ardhi - hawa ni ndugu - BABA YAO MMOJA ila MAMA MBALIMBALI - UKISOMA BIBLIA utajifunza mengi - TAFUTA KITABU HICHO UJISOMEE UELEWE -
  WAISRAEL hata kama sio geneous kama wengine wanavyosema - TANGU ZAMANI MKONO WA MUNGU UKO JUU YAO - na hata LEO - WANADAMU WOTE WANAOMKUBALI YESU KWA IMANI NI WAISRAEL - [hayo ni mambo ya ulimwengu wa Kiroho - na bila kuwa Rohoni huwezi kuelewa!!]

  Mfano kuwa wana mkono wa Mungu - kumbukeni walivyokoa mateka na ndege ilipotekwa na Idd Amini - kibinadamu sio rahisi - KWA VILE MUNGU AMEWABARIKI - NASI TUWABARIKI -MUNGU AKIAMUA NANI AWEZAYE KUPINGA? ni mwanadamu gani anayeweza kumhoji Mungu Muumba wa wa wote wenye Mwili??

  TUANGALIE SANA TUNAPONENA LA SIO TUTAISHIA KUSHINDANA NA MUNGU - ambaye akikuambia ulipie hiyo oxygen aliyokupa BURE huwezi kulipa - TUWE WANYENYEKEVU
   
  Last edited: Sep 8, 2009
Loading...