Watalii walalamikia Trafiki Polisi Tanzania

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
Wakuu,
Nchi yetu inahitaji kupata watalii wa kutosha kwa ajili ya kuinua uchumi wetu ambapo tunahitaji forex sana hasa kipindi hiki ambapo shilling yetu inayumba.
Kuna wageni wameandika kwenye mtandao mkubwa duniani wa Trip Advisor kuhusu Polisi traffic wa Tanzania, soma hapa chini au tembelea mtandao huo.....

I have a very enjoyable safari in Tanzania, but there were a few things that left me a upset that I would like to share as wide as possible with the hopes that it could lead to some pressure for change.

First I was shocked at the excessive presence of traffic police in Tanzania. It is really at a level of harassment and when you spend nearly $10,000 for a tour every minute you lose by these repetitive and pointless stops is valuable wildlife time down the drain. There is one place where the speed limit is posted at 50kms (which I think is around 35 miles per hour) and it goes on forever. There is nothing there, not a house, not a school, just some farms and of course a police officer who has setup a speed trap. Needless to say we were stopped over 20 times on these roads for nothing. I honestly don’t understand how the guides keep their cool.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trafiki polisi bila kukaa barabarani hawana kazi. Ndio maana wanachukua waliofeli. Hata ukiwa na F zote unaweza kupiga faini ya spidi, na hiyo ndio kazi pekee wanajua. Napendekeza kazi ya trafiki wapewe darasa la saba kuongeza ajira nchini
 
Masikini mtali ii!! Hajui kuwa askari barabarani ni mradi wa serikali ya Tanzania..
 
Nimemskia IGP Sirro akisema ukiona umeonewa usilipe faini uende mahakamani.

Nikajiuliza mahakama zenyewe ndiyo hizi ambazo kina Mbowe wanasotea dhamana kwa miezi 3 sasa?

Kama nia ni njema kwa nini pasiwe na hotline ya kulalamika na kupata ufumbuzi mara moja kama kwa makampuni ya simu?

Polisi traffic ni janga. Ajabu wenye mamlaka wanajifanya kutoliona.
 
Wakuu,
Nchi yetu inahitaji kupata watalii wa kutosha kwa ajili ya kuinua uchumi wetu ambapo tunahitaji forex sana hasa kipindi hiki ambapo shilling yetu inayumba.
Kuna wageni wameandika kwenye mtandao mkubwa duniani wa Trip Advisor kuhusu Polisi traffic wa Tanzania, soma hapa chini au tembelea mtandao huo.....

I have a very enjoyable safari in Tanzania, but there were a few things that left me a upset that I would like to share as wide as possible with the hopes that it could lead to some pressure for change.

First I was shocked at the excessive presence of traffic police in Tanzania. It is really at a level of harassment and when you spend nearly $10,000 for a tour every minute you lose by these repetitive and pointless stops is valuable wildlife time down the drain. There is one place where the speed limit is posted at 50kms (which I think is around 35 miles per hour) and it goes on forever. There is nothing there, not a house, not a school, just some farms and of course a police officer who has setup a speed trap. Needless to say we were stopped over 20 times on these roads for nothing. I honestly don’t understand how the guides keep their cool.......

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza polisi ni wengi kupita kiasi na hawana kazi za maana, kule Zanzibar ndani ya serikali yaa mapinduzi Askari poisi na wanajeshi ni wengi kuliko idara nyinegine yooyote ya taifa. Kila baada ya kilomita 3 kuna askari barabrani wanaboa kkupita maelezo, huu ni woga wa kutawala kihalamu.
 
Mimi nilisha post huu usumbufu wa vibao vya speed limit, Mimi ni mtu ninaezunguka sana , laiti viongozi wetu wangejua tunavyotukanwa na hawa watalii wangefikiria mara mbili mbili, hapa wanaanzisha vipindi vya kutangaza utalii huku wanawabughuzi hao hao watalii ni kitu kisichoeleweka.., jamaa zetu watalii kwao muda ni muhimu kuliko chochote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa huu utaratibu wa traffic police kusimamisha magari bila sababu ni kero kubwa - si mijini, si vijijini. Wanakusimamaisha kutafuta makosa. Nilikutana na bwana mmoja kutoka Kenya aliyekuwa na shughuli ya miezi kama mitatu pale jijini Arusha. Aliniambia kuwa alikuwa amepanga kuja na gari lake kutoka Nairobi ili limrahisishie shughuli zake alizokuwa anafanya lakini wenzake walimtahadharisha kuwa kuendesha gari nchini Tz ni kero kubwa kuliko kero ambazo angepata kwa kutokuwa na gari lake. Aliamua kutolileta.
 
Hakuna kitu Wageni hawapendi kama usumbufu usio wa lazima wageni wanasumbuliwa huku wameleta dollar ni vile trafiki wengi hawajui mchango wao ndio maana wapo busy kusimamisha magari yaliyobeba wageni hata wakuu wao pia ni failure pia ndio maana kila kukicha jambo hilo hilo,
 
Kusimamisha magari Bila sababu yoyote ni usumbufu....
Wageni wengi wanailalamikia situation hii ....any way hao watali lazima wafahamu traffic kukaa barabarani ni mradi wa serikali ili wapate fedha
Hatua wanayotakiwa chukua hao watatii ni wasirudi tena nchini

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trafiki polisi bila kukaa barabarani hawana kazi. Ndio maana wanachukua waliofeli. Hata ukiwa na F zote unaweza kupiga faini ya spidi, na hiyo ndio kazi pekee wanajua. Napendekeza kazi ya trafiki wapewe darasa la saba kuongeza ajira nchini

Trafic police ni tatizo kubwa saana hapa nchini,wanapenda saana rushwa na ili waipate wanabambikia watu makosa yasiyo eleweka.

Mfano juzi pale singida tukiwa na gari mbovu ambayo tumelipia kila kitu katika utaratibu wa ukaguzi na tukapewa VIR na vehicle inspector ili gari iweze kusafiri.

Kufika singida tukakutana na trafic mdada hv yupo rafu rafu anaitwa EMELINA akaomba karatasi zote na kupewa baada yankuzi cheki akasema na mm mnitoe,kuepusha usumbufu tukampa ya kubrushia viatu akagoma akasema anataka 20 vinginevyo anaandika.

Pamoja na kuongea nae na kumuuliza kwani trafic wanatumia sheria tofauti kila mkoa hakutaka kuelewa kabisa akakomaa 20 au faini tukajua utani,akandika faini kwa vitu vilivyokavuliwa na mwenzake na kutoa VIR.

Kama kweli IGP anasema twende mahakamani natamani saana kufanya hivyo,tatizo huko nako issue haiishi siku moja,utaenda wee na kujikuta unatumia muda mwingi huko ni bora kulipa tu faini.
 
Kwa face value IGP anasema kwa nia njema kwenda mahakamani. Lakini kwa uhalisia issue ya muda na usumbufu ndiyo maana watu wanalipa faini huku wakijua ni uonevu mtupu.
 
Kiboko ya yote ni barabara ya moshi-arusha. Sijawahi kuona askari wengi namna hii kwenye barabara fupi kama hiyo. Kila kilomita tano unakutana nao tena wanakaa wengi utasema wana mkutano. Ni usumbufu wa hali ya juu kabisa.
 
Poleni sana ambao bado mnaamini tuna jeshi la polisi.
 
hizi speed za 50 kph zingewekwa kwa mabasi na malori pekee, hao ndio waliokua wanachinja watu kutokana na speed + ubovu wa barabara.
 
Back
Top Bottom