Wakili maarufu Arusha ashirikiana na Mchungaji kumtapeli mjane

sisya

JF-Expert Member
Aug 9, 2014
264
225
Wakili maarufu Maro Advocaat amekuwa anatumia umaarufu wake kutapeli wajane,Maro alishiriki kutapeli nyumba ya marehemu Yese aliyekuwa mchimbaji maarufu wa madini ya Tanzanite,nyumba hiyo akamuuzia mzungu Mark.

Sasa hivi ameingilia familia ya marehemu Christopher Kahangi kiwanja namba 50 corridor area wakishirikiana na PASTOR wa Pool of Siloam Arusha anaposali mtoto wa Christopher Kahangi anayeitwa Ruta ambaye akili zake sio sawa.

Pastor akishiriana na Advocaat Maro wamemlangai Ruta akaiba hati na kumkabidhi Maro.Maro anahusika pia kumtapeli Kanunga kiwanja kilichopo jirani na Mount meru hotel.

Mama Juliana Kahangi tumemuuliza kama amempa mamlaka PASTOR na Rutta ya kuuza nyumba alikana kabisa.Mama Juliana Kahangi anasema nyumba ipo chini ya msimamizi Bwana Asafu.

Maro anadai amepewa account namba ya PASTOR aweke hela na Ruta anataka kufanya kama alivyoifanyia familia ya marehemu Yese.
 
Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
23,363
2,000
Maro ni wakili wa muda mrefu sana, na ni shemeji wa mke wa mstaafu mmoja toka kusini, tupate na ya upande wa pili ili kujua nini kinaendelea.

Na kama kweli huyu mama anadhulumiwa haki yake, sio haki.

Wajane na yatima ni kundi lenye nafasi ya pekee hata kwa Mungu.
 
sisya

JF-Expert Member
Aug 9, 2014
264
225
Jana usiku 25/02 2019 walikuja Dar mwakilishi wa Maro PASTOR Mkee wa Rutta na Rutta mtoto wa mama juliana kahangi wakiwa na gari Noah walitaka kumteka mama kama sio polisi kuwa hii ilikuwa wamteke gari yenyewe picha yake hii hapa. View attachment 1032556
IMG-20190226-WA0009.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,747
2,000
Nyie watu wa arusha mnapenda sana kudhulumiana, bora mkoa wa arusha tuwape wakenya na sisi watupe mkoa wa mombasa, mombasa hata kiswahili chao ni cha kitanzania nyie arusha kiswahili chenu ni cha kikenya kabisa
 
Maono Eliya

New Member
Feb 28, 2019
1
45
MIMI RUTA KAHANGI MMOJA WA WANAFAMILIA WANAOTAJWA KUTAPELIWA NYUMBA. NAPENDA KUWATANGAZIA UMA KUWA NYUMBA YA MAMA JULIE KAHANGI HAIJATAPELIWA NA YEYOTE.
MCHUNGAJI WA SILOAM ARUSHA HAJAUSIKA NA UTAPELI WOWOTE HUU ULIOTAJWA HAUU.
ATAKAEENDELEA KUCHAFUA JINA LA MCHUNGAJI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA NA SERIKALI.
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,522

Aisee
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
14,502

Wakili msomi anasema "HAJAUSIKA" sijui anataka kusema nini hapo.
 
sisya

JF-Expert Member
Aug 9, 2014
264
225
MIMI RUTA KAHANGI MMOJA WA WANAFAMILIA WANAOTAJWA KUTAPELIWA NYUMBA. NAPENDA KUWATANGAZIA UMA KUWA NYUMBA YA MAMA JULIE KAHANGI HAIJATAPELIWA NA YEYOTE.
MCHUNGAJI WA SILOAM ARUSHA HAJAUSIKA NA UTAPELI WOWOTE HUU ULIOTAJWA HAUU.
ATAKAEENDELEA KUCHAFUA JINA LA MCHUNGAJI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA NA SERIKALI.
Kama mchungaji hajatapeli inakuwaje awe na hati ya hiyo nyumba?na niwewe Ruta uliyempelekea.Hivi Ruta una habari hao watoto mkeo aliomkuta nao niwa Mchungaji?sisi tupo hapa kwenye hii nyumba tunamuona mchungaji anavyolala na mkeo wewe unadanganywa anamfanyia maombi,unalala chumba kingine.Kuwa muuwazi sema na unavyopigwa na huyu mkee wenu na mchungaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
11,966
2,000
Hahaaa huyu ruta ni bofoya yani anatafuniwa mke plus kuendelea kua boya,huyo mama aende kutoa ripoti police kua hati zake zimeibiwa.pia watoto wake wengine wako wapi
Kama mchungaji hajatapeli inakuwaje awe na hati ya hiyo nyumba?na niwewe Ruta uliyempelekea.Hivi Ruta una habari hao watoto mkeo aliomkuta nao niwa Mchungaji?sisi tupo hapa kwenye hii nyumba tunamuona mchungaji anavyolala na mkeo wewe unadanganywa anamfanyia maombi,unalala chumba kingine.Kuwa muuwazi sema na unavyopigwa na huyu mkee wenu na mchungaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom