KONGAMANO SWEDEN APRIL 9-11
Jinsi ya kuhudhuria Kongamano.
1.Unalipia gharama za chakula na malazi Melinini TDC Global - Tallink
2.Unatuma copy ya pass na copy ya malipo melini kwa email hii...
Sasa hivi ni mwendo wa mwaga mboga sisi tumwage ugali.
Wakenya wameanza kuzuia bidhaa toka Tanzania na kuanza kuzipima upya ili kuzikagua ubora ilihali kulikua na makubaliano ya kwamba bidhaa...
Augustino Chiwinga
0756810804
Kwa kawaida kila kitu kinapokua kinataka kufikia tamati yake huwa kinonesha dalili fulani mathalani, mtu anapotaka kuuga roho huwa kuna dalili zake, gari...
habari!
leo nimesikia kwenye matangazo ya barabarani kutakuwa na mafunzo ya bure ya udereva na mwisho unapata cheti bure.
kama kuna yeyote amesikia naomba anisaidie kujua mahali ambapo mafunzo...
Heshima kwenu wakubwa na wadogo marhaba!
.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza wadau Rwanda wana mkakati gani wa kukabiliana na ongezeko la watu nchini mwao nataka kufahamu hili kwa kuzingatia...
Wengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001.
Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema ipo katika mchakato wa kuweka elimu ya kodi katika mitaala (syllabus) ya elimu nchini ili wanafunzi waanze kufundishwa maana ya kodi tangu wakiwa wadogo...
Watu waishio mbezi na kawe kwenye kingo ya mto wameshapatiwa elimu vya kutosha na NEMC namna ya kutunza mazingira lakini bado wanatabia zao ngumu sana!
Wakazi hawa kutokana na shughuli zao za...
Amani kwenu Great Thinkers.
Nimeshangazwa katika pitapita zangu huko mikoa ya Kaskazini kuona aina mpya ya kukagua mizigo hatarishi (pengine dawa za kulevya) ambapo askari polisi katika eneo la...
Licha ya umuhimu wake, usafiri huu umekuwa na changamoto lukuki ambazo unakabiliwa nazo. Natambua zipo ahadi mbalimbali za wahusika kuonyesha nia ya kutatua changamoto zinazojitikeza lakini...
Msanii huyu anaejinasibu kama msanii msomi kuliko wote na mwenye ndoto za kuwa Rais amewafananisha wanawake wasiojitambua sawa sawa na wanawake wenye ulemavu Wa akili.
Yapasa aombe radhi Kwa kweli...
BREAKING NEWS
NYUMBA YA MALISSA GJ IMEVAMIWA MUDA HUU NA WATU WASIOJULIKANA.
Wako hapo mpk muda huu wakilazimisha milango ifunguliwe hili waingie ndani
Msaada tafadhali
_______
Update
Habari...
Wakuu, nimeikokotoa FB
"UMEISIKIA HII??
Chupa ya bia ya kwanza, huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo... Na mara nyingi huwa mkimya...
Wanajamvi
Salaam
Naamini bila kuwa na chembe yoyote ya shaka,huyu mchungaji anahitilafu kwenye ubongo. Ukifuatilia jinsi anavyoropoka utagundua kabisa huyu dishi limeyumba.
Lkn pamoja na...
kushindwa kuwataja walioficha Hela Uswisi ni Ujinga,asema Kibonde. Akizungumza katika kipindi cha Jahazi leo tarehe 22.11.2012, bila kutaja jina, Kibonde amedai kuwa yeye anashangaa hata waandishi...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemtaka Mbunge wa Kigoma Mjini kuwa mkweli katika kutoa takwimu za vifo vya kina mama vitokanavyo na uzazi tofauti na takwimu anazozitoa.
Waziri Ummy amelazimika...
Hivi Viwanda bila Wataalamu vitakuwaje au ndo tunatengeneza cheap labour? Nini maana ya kuwa na uongozi katika ngazi za chini kama wanashindwa kudeal na vitu kama hivi?
Mambo ya nchi hii...
Za weekend wanajamvi.
Naomba tupeane info za majanga ya ajali zinazosababishwa na uzembe wa watumiaji wa barabara kuacha umakini wa kuendesha vyombo vyao vya moto na kuanza kusorolea wanawake...