Sweden hiyooo..

Sweden hiyooo..

exit

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
1,670
Reaction score
1,812
KONGAMANO SWEDEN APRIL 9-11

Jinsi ya kuhudhuria Kongamano.

1.Unalipia gharama za chakula na malazi Melinini TDC Global - Tallink

2.Unatuma copy ya pass na copy ya malipo melini kwa email hii viza@tdcglobal.org kwa ajili ya mwaliko wa Viza.

Kongamano ni kuanzia trh 9-11 april.

Kwa wale watakaopenda kubaki kimatembezi au kufika mapema kabla ya shuguli link hii ya Hostel za bei nafuu.
https://generatorhostels.com/booking?be=0&hn=1701&ln=en-GB&arr=2019-01-17&rate=NRG_RO

Karibuni sana Sweden.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama siyo utapeli ndg exit hebu weka wazi kwa undani linahusu nini hilo kongamano, wahusika (waandaaji) kina nani na kwa nini Mtanzania ajisajili ahudhulie na kiasi hicho kinalipiwa kwa nani?
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Hapa hapafai ngoja nikimbie naweza kujisahau nikaliwa
 
Kuna harufu ya utapeli kabisa hapa.
Na kuna wajinga watapigwa vijihela vyao sasa hivi
Sio utapeli ni kongomana la uzinduzi wa UMOJA wa wa tanzania wote wanakoaa njee ya nchini (TDC Global) unaweza pitia hata website yao www.tdcglobal.org linafanyika sweeden, hiyo pesa ulipiga ni yakwako mwenyewe kwa ajili ya malazi na chakula, uzinduzi unafanyikia kwenye meli kubwa ya talinks ndio huko huko kuna vyumba na kila kitu. Tatizo la aliweka hili tangazo kama anakimbizwa.. [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama siyo utapeli ndg exit hebu weka wazi kwa undani linahusu nini hilo kongamano, wahusika (waandaaji) kina nani na kwa nini Mtanzania ajisajili ahudhulie na kiasi hicho kinalipiwa kwa nani?
Wabongo muwe mnasoma kitu na kuelewa sio kukurupuka tu. Maelezo yote yapo kwenye link zao humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo muwe mnasoma kitu na kuelewa sio kukurupuka tu. Maelezo yote yapo kwenye link zao humo.
Wewe unayeingia kwenye link ungeelezea kila kitu.

Kwanini uwafanye watu waende shm wasiyokuwa na ulazima kwenda?

Kila kitu kiwekwe wazi, Acha majungu wewe, sipu inin?
 
Wewe unayeingia kwenye link ungeelezea kila kitu.

Kwanini uwafanye watu waende shm wasiyokuwa na ulazima kwenda?

Kila kitu kiwekwe wazi, Acha majungu wewe, sipu inin?
Duu yani usomewe, upewe maelezo, mwisho utasema na forms uprintiwe na utumiwe, shida kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KONGAMANO SWEDEN APRIL 9-11

Jinsi ya kuhudhuria Kongamano.

1.Unalipia gharama za chakula na malazi Melinini TDC Global - Tallink

2.Unatuma copy ya pass na copy ya malipo melini kwa email hii viza@tdcglobal.org kwa ajili ya mwaliko wa Viza.

Kongamano ni kuanzia trh 9-11 april.

Kwa wale watakaopenda kubaki kimatembezi au kufika mapema kabla ya shuguli link hii ya Hostel za bei nafuu.
https://generatorhostels.com/booking?be=0&hn=1701&ln=en-GB&arr=2019-01-17&rate=NRG_RO

Karibuni sana Sweden.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii forum waelewa sana mkuu hapa umepotea nenda Facebook au Insta unaeweza ukawapata na kuwakamata.
 
Jinsi hao watu walivyochanganywa na wakimbizi unadhani visa ya schengen inatoka hovyo hovyo miaka hii?
 
Back
Top Bottom