Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawashangaa sana watu wa TAZARA. Wanakubali kufiwa na shirika mikononi na siku zote kuwa na mikakati midogo sana ya kuifufua kampuni (mediocre strategies). TAZARA wanahitaji kufikiria kikubwa -...
14 Reactions
50 Replies
10K Views
Rubani wa Ndege ya Saudia SV832 akiomba kuruhusiwa kurudi tena katika uwanja wa Ndege mjini Jeddah, Saudia baada ya Abiria wake mmoja ambae ni Mwanamke kumsahau Mtoto wake Airport baada ya Ndege...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Tutazame kwa makini mbinu zinazitumika kuuwa ng'ombe na nguruwe kwa ajili ya kitowewo, kisha tutafakari ni nani kahalalisha mateso haya; kwani hakuna namna ya kuishi bila kuumizana namna hii? Tena...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mkutano uliotakiwa kuanza leo Jumanne Machi 12, 2019 wa Chama cha Wananchi (CUF) upande wa mwenyekiti anayetambuliwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa Profesa Ibrahim Lipumba...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari waungwana!? Ningependa kujua hali ya maisha kwa namna ya utafutaji katika maeneo haya ya mpakani mwa Tanzania. Mzunguko wa kiuchumi ukoje? Gharama za maisha zikoje!? Panafaa kwa kuanzia...
2 Reactions
49 Replies
15K Views
Hivi vijana wenzangu wa zamani, mnamkumbuka mzee Majambo? Alikuwa anavaa vitu fulani hivi miguuni na alikuwa anatembeza na kuuza karanga. Yule mzee alikuwa ananitisha sana na nilikuwa napata...
4 Reactions
77 Replies
12K Views
Meli mpya ya kisasa inayoundwa katika bandari ya Itungi Kyela ipo katika hatua za mwisho kukamilika ambapo itarahisisha safari za Kyela, Songea, Mbinga, Njombe na Malawi kupitia Ziwa Nyasa Sent...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
MZUNGU NI MZUNGU AKILI MINGI SANA
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mgambo wa jiji ILALA wanaokamata watu kwa kisingizio cha usafi wa jiji,wamekuwa na tabia ya kutisha watu kwa kuwatoza faini ya papo kwa papo elfu 50000 bila maelezo hakuna risiti majina wanaandika...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Naomba ufafanuzi wa kitaalamu,coz nimeaminishwa kwenye ndege wako very makini. Ikitokea itilafu wanasolve kwa wakati,licha ya umakini lakini ikitokea ajali haponi MTU hii ni kwann? Nimeambiwa...
3 Reactions
135 Replies
19K Views
Inaaminika miracle happens when God bend the laws of nature for your own undeserving favour. Yaani Mungu anaamua kupindisha Sheria zake za kidunia ili akupe favour wewe. Imagine ukiwa na cancer...
7 Reactions
23 Replies
5K Views
Shehena ya samaki wenye sumu kutoka nchini China wateketezwa katika dampo la Pugu Kinyamwezi Jijini Dar Es Salaam , zoezi lililosimamiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina. Shehena ya...
7 Reactions
61 Replies
12K Views
Status 1 ikiwa ndefu hawasomagi, ila mtu huyo huyo atasoma fupi fupi mia!: Mnisamehe kama ntakuwa mkali kidogo, ni hivi, kama kilicho ndani ya nyumba thamani yake haifiki laki, nawe una milango...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanajamvi. Poleni ndugu jamaa na marafiki pia kwa msiba mzito wa jamaa/rafiki yetu Ruge Mutahaba. Inauma sana na tutamkumbuka kwa mengi hasa kwenye mapinduzi ya soko la muziki...
12 Reactions
78 Replies
16K Views
Roma ya kale walikuwa na msemo wao maarufu wa “nomen est omen” ,or “name is destiny”. Ukimaanisha kwa kiswahili "jina lako na hatma yako" kwa ujumla ikimaanisha kwamba jina lako linaweza kuamua...
14 Reactions
177 Replies
19K Views
Wakuu naomba kujua hizi channels zinapatikana king'amuzi gani hapa Tz 1. i24news 2. Press TV 3. RT tv
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni mfanyabiashara wa pombe kali, wines na bia aina tofauti tofauti kwa jumla na rejareja maeneo flani hapa jijini Dar. Swali langu kwamba ni kipi kilichowakumba Tanzania...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Watu 3 akiwemo Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Rutoro kilichopo Kata ya Ngenge Wamekamatwa kwa tuhuma hizo za kufoji vitambulisho vya Wajasiriamali Watu hao wamekutwa na vitambulisho...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada hapa tafadhali, nimeanzisha shule ya chekechea, na tayari imeshasajiliwa huku ikiwa na wanafunzi 40, Sasa malengo Ni kuikuza shule kwa kuongeza wingi WA Madarasa, walimu...
1 Reactions
49 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…