Godfrey Nkoko
Member
- May 1, 2017
- 19
- 31
Rubani wa Ndege ya Saudia SV832 akiomba kuruhusiwa kurudi tena katika uwanja wa Ndege mjini Jeddah, Saudia baada ya Abiria wake mmoja ambae ni Mwanamke kumsahau Mtoto wake Airport baada ya Ndege yake kuruka kuelekea Kuala Lumpur Malaysia, Rubani huyo aliruhusiwa baadae na kuigeuza Ndege hiyo angani kurudi uwanjani.([emoji329] The Real Life in Saudi Arabia)