Tetesi: Channels hizi zinapatikana king'amuzi kipi (i24news, press tv , RT ...)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,114
18,338
Wakuu naomba kujua hizi channels zinapatikana king'amuzi gani hapa Tz

1. i24news
2. Press TV
3. RT tv
 
Nometafuta kwa website yao sijaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni free channels, huko kwenye web yao hizo ulizoziona hakuna ya bure hata moja hata TBC ni yakulipia, hadi radio.
.
Hiki kisimbusi ukiwa nacho kina raha hii uki_search channels kwenye sehemu imeandika single satellite search unapata mpaka channels za michezo ya kubashiri za startimes kama Star novella (E) na (F) channels za UG zote. Supersport channel unapata moja na mengine kama hayo ya news yoooote yakidini sasa ndo utajuta.
 
Kinapatika wapi , madukani kipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinapatika wapi , madukani kipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maduka yote yanayouza visimbusi kinapatikana. Visimbusi vy aina yake kama Azam na Dstv hawana wasafi tv, Sibuka maisha na Clouds plus yeye anazo.
.
Kumbuka hili kama ni mpenzi wa michezo achana nacho na kama ni mpenzi wa masinema yakihindi au machaneli ya kikenya na hayo ma_news tv basi ndio chenyewe
 
Back
Top Bottom