Mgambo wa jiji ILALA wanachukua rushwa balaa na hadharani

parsalaw

Member
Apr 9, 2011
13
45
Mgambo wa jiji ILALA wanaokamata watu kwa kisingizio cha usafi wa jiji,wamekuwa na tabia ya kutisha watu kwa kuwatoza faini ya papo kwa papo elfu 50000 bila maelezo hakuna risiti majina wanaandika Kwenye A4 na mwisho ni kuomba rushwa ya elfu 20000 na 5000 ya bajaji.aibu sana wanaipaka matope serikali na dhana yote ya usafi ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom