Tunaweza kuona kama jambo la kawaida ila ukifikilia sana jinsi Ruge alivyopigania tasnia ya mziki huu, na alivyotoa ushindani gemu ilichangamka sana
Swali fikilishi ndio hilo; Ruge kaenda na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema kati ya mwaka 2011 hadi 2018, kiwango cha ukusanyaji wa maduhuli katika sekta ya madini mkoani Geita kimeongezeka kutoka Sh24bilioni...
Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza Figo jumla ya Wagonjwa saba tangu ilipoanza kufanya huduma hiyo kwa kushirikiana na Madaktari kutoka shirika la afya la Tokushukai lilopo nchi...
Mwanasiasa: JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI (JJPM)
Nchi ya kuishi niliotokea kuipenda: TANZANIA
Utawala ulionikosha kweli kweli kwa uwajibikaji mzuri: awamu ya 5 (Tano)
Chama cha siasa bora kabisa...
Hakuna jambo zuri na la maana Duniani kama kuwavusha wengine kutoka hatua moja kwenda nyingine.
Hakuna sifa kubwa ya binadamu inayokumbukwa na kudumu kwa muda vizazi hata vizazi kama uwezo wa...
Nimeona mh nassari akilialia juu ya kuvuliwa ubunge,natafakari umebaki mda,mfupi tu uchaguzi ufanyike kwann asisubiri uchaguzi au apambane tena kwenye by election?
Hoja yangu juu VP hatma ya...
Roho ya korosho ni msemo wa Siku nyingi wa lugha ya Kiswahili.
Msemo huu unamaanisha roho mbaya aliyonayo MTU.
MTU mwenye roho ya korosho ana chuki, ana husda, ana wivu, ana hinda, ana gubu, ana...
CAR au Central Africa Republic au Jamhuri ya Africa ya Kati ni moja ya Nchi zinazopatikana Africa ya Kati
Tangu nipo mdogo rafiki zangu walinipachika jina la Bokassa huyu alikua mtawala na...
Wasalaam wanajukwaa.
Kwa uchache tu, naomba kuleta malalamiko yangu hapa, hususani kwa wale kamati ya kubashiri.
Huwa napenda sana kutumia kampuni ya bahati nasibu ya Primier Bet, lakini...
Nimefuatilia sana kuhusu baadhi ya taarifa zinazotolewa na kurugenzi mbali mbali na mamlaka mbali mbali katika taasisi za serikali,
Umakini wa utendaji unapungua kwa kasi sana kuanzia uandishi...
Countries stopping Boeing 737 Max 8 flights: why we don't see Tanzania and other third world countries taking any action on this i mean giving alert on booking them wherever they travel
list of...
DAMU YA MWANAMWALI KITANDANI
MTUNZI: ALLY KATALAMBULA
UTANGULIZI
“MWANAUME kutokwa na machozi, iwe kwasababu ya maumivu au majonzi, si kitu kinachokubalika katika ukoo na kabila letu.
Ukiona...
Sasa hivi dhehebu la SHIA ahlulbayt limekuwa na waumini Takriban asilimia 70 ya Waumini wa Kiisilamu hapa Nchini.
Kufikia 2027 Dhehebu la SUNNI litakuwa ni Historia Hapa Bara na Visiwani,kwa hiyo...
Vipi ulishawahi kuchukia kwa lipi?
Binafsi kuna siku nilikuwa na shida kweli kweli nikamcheki mshikaji wangu kumuomba aniwezeshe na akanihakikishia ndani ya dakika 10 atakuwa tayari amenitumia...
Wanajf, ninayofuraha kubwa BECAUSE I AM ATTENDING SIGNIFICANT OTHER pia napenda kuwajurisha kuwa kuna pendekezo la maazimisho ya Siku ya wafanyakazi maarufu kwa jina la MEI MOSI kuwa yatafanyika...
Serikali inapaswa kufanya utafiti wa njia inazo tumia kukusanya mikopo kwa wanafunzi, kama njia inayo tumika inaleta matokeo chanya au hasi.
Kwanjia yasasa Mwanafunzi anaweza akadaiwa tangu...
Kwa walioko jijini Tanga, watujuze kwa kiurefu kuhusu coaster ya wanafunzi iliyogonga treni maeneo ya Gofu.
Mtupe taarifa kwa urefu ikiwa ni za uhakika
====
maiyanga1, anasema;
"Ni kweli ajali...
Jamani lipeni madeni na mapunjo ya watu. Unakuta mtu kaachishwa kazi au kastaafu na anatakiwa alipwe chake kwa mujibu wa sheria lakini cha ajabu anapewa vinusunusu!!
Sent using Jamii Forums...