Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,731
- 8,825
CAR au Central Africa Republic au Jamhuri ya Africa ya Kati ni moja ya Nchi zinazopatikana Africa ya Kati
Tangu nipo mdogo rafiki zangu walinipachika jina la Bokassa huyu alikua mtawala na dikteta wa nchi hii ya Afrika ya Kati Gen Jean Bokassa
Sikujua sababu ya kuitwa Bokassa
Lakini baada ya kuwa mtu mzima na akili timamu nimekua napenda sana kuitaja hii Nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati hasa mji mkuu wake Bangui
Mitandao mingi ya kijamii najitambulisha kama naishi Bangui nimetokea tu kuupenda huu mji
Najua Central Africa Republic ina Vita vya Mara kwa Mara lakini nimetokea sana kuipenda hii Nchi
Muda mwingi nafikiria namna ya kuitembelea hii Nchi hasa mji mkuu Bangui
Naomba mnijuze namna gani naweza kufika CAR ndoto yangu ikatimia
Sent using Jamii Forums mobile app