Mei mosi yaja 2019 Mbeya

Mei mosi yaja 2019 Mbeya

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,684
Wanajf, ninayofuraha kubwa BECAUSE I AM ATTENDING SIGNIFICANT OTHER pia napenda kuwajurisha kuwa kuna pendekezo la maazimisho ya Siku ya wafanyakazi maarufu kwa jina la MEI MOSI kuwa yatafanyika Mkoani MBEYA.
Je yapi maoni yako kuhusu ujio wa Mei mosi 2019?
Mimi ningependa wayalete sirari border tule bata mpakani.
MGENI rasmi anatarajiwa kuwa JPM, sijui ataenda au atakuwa Urusi kipindi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mkoa una wafanyakazi hivyo unastahili kuandaa maadhimisho hayo, lakini kwakuwa mwaka Jana ilikuwa Iringa na Iringa na Mbeya in majirani, sidhani kama wanawezapeleka Mbeya, ila ikitokea si neno maana Mbeya ni, cha msingi in Maslahi ya wafanyakazi na kuwakumbusha wajibu wao watumishi was Umma Tanzania,Menejimenti ya Utumishi wa Umma ijitathmini na kujitafakari kuhusu uwajibikaji wake kwa watumishi wa umma uidhinishaji wa madaraja kwenye mfumo, vibali vya uhamisho na kuazimwa vinavyochukua miezi 6 badala ya siku 21 zilizowekwa, Decategorization na recategorization. Mei mosi ya mwaka huu iwe ni maalumu kwa Menejimenti ya utumishi wa umm kutatua kero za watumishi, wasisubirie Mh. Rais awashukie, au aongeze Mwanajeshi baada ya Kepteni na ACP kushindwa. Wawajibisheni maafisa utumishi ktk ngazi ya Halmashauri wanaonyanyasa na kuonea watumishi, wanamchonganisha Mh. Rais kwa maslahi binafsi
Wanajf, ninayofuraha kubwa BECAUSE I AM ATTENDING SIGNIFICANT OTHER pia napenda kuwajurisha kuwa kuna pendekezo la maazimisho ya Siku ya wafanyakazi maarufu kwa jina la MEI MOSI kuwa yatafanyika Mkoani MBEYA.
Je yapi maoni yako kuhusu ujio wa Mei mosi 2019?
Mimi ningependa wayalete sirari border tule bata mpakani.
MGENI rasmi anatarajiwa kuwa JPM, sijui ataenda au atakuwa Urusi kipindi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajf, ninayofuraha kubwa BECAUSE I AM ATTENDING SIGNIFICANT OTHER pia napenda kuwajurisha kuwa kuna pendekezo la maazimisho ya Siku ya wafanyakazi maarufu kwa jina la MEI MOSI kuwa yatafanyika Mkoani MBEYA.
Je yapi maoni yako kuhusu ujio wa Mei mosi 2019?
Mimi ningependa wayalete sirari border tule bata mpakani.
MGENI rasmi anatarajiwa kuwa JPM, sijui ataenda au atakuwa Urusi kipindi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maoni yangu ni kukuuliza upo kazini? Sababu kiswahili tu shida.
 
Muajiri mkuu aseme atawafanyia nn watumishi, kila anaefanya kazi anategemea ujira wake,haitakua na maana kama ndio itakua siku ya kukumbushana majukumu,mwaka mzima watu wanafanya kazi ukikaa nao kikao sema unawaboreshea vipi maslah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maoni yangu ni kukuuliza upo kazini? Sababu kiswahili tu shida.
Na la kumuuliza zaidi:
-huwa anasubiri mwenge na mei mosi ndiyo ale bata?
-je, ni yeye aliyetuambia kwamba tangu aanze kufanya kazi hajawahi kutumia elimu yake ya darasani?
 
Back
Top Bottom