Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to the Almighty. Leo wazo langu lipo kama hivi; Wanaomiliki vitambulisho vya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika eneo letu hapa Dar es Salaam, maji yamekuwa aidha yanakatika menyewe au yanakatwa na mamlaka husika mara kwa mara ila bomba linatoa upepo kwa maana mashine ya kusukuma maji inafanya kazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania imefanya vizuri kama si Kufuzu katika Mashindano ya Dunia ya Kombe la Wenye Furaha Duniani kwa kuwa nafasi ya 153 kati ya 156 katika zile nchi zote duniani ambazo zina Furaha. Jamani hii...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Jana mida ya sita mchana asikari walizunguka viunga vya garden ya posta ya zamani NBC na kukamata kila aliyekuwa amekaa ndani ya viunga hivyo hii ilipelekea baadhi kupigwa akiwemo mwanafunzi wa...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nianza na mada yenyewe, nimekua nikitibiwa Muhimbili kwa muda sasa Cha kushangaza ni kua Madaktari wanawadhamini sana wenye bima kuliko wakina sisi tunaolipa cash ukitokea Hospital za Wilaya hasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ishu ilikuwa very serious kwenye familia hii. Mama mjane kaachiwa mabinti wanne. Mabinti wamesoma na wana kila kitu. Mama anataka aone wajukuu kabla hajafa. Watoto hawana wachumba. Mama kaamua...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi ni moja ya watu waoga wa kujenga ghorofa, hofu yangu kubwa ni juu ya gharama. Lakini nimekuja kufikiria faida za kujenga ghorofa mfano kuepuka gharama za bati, kwa kujenga ghorofa kiwanja...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimekuwa nawaza sana suala kama hili tokea zaman, Kuna wazee wangu nimekutana nao zamani wa makamo ya miaka kama 70+ Wanasema kwamba kama una mipango ya kufanya kesho yake, Kama interview, maombi...
13 Reactions
68 Replies
11K Views
1. Hapana Shaka Mbunge wa Arumeru Mashariki JOSHUA NASSARI alimpeleka mke wake kujifungulia Marekani ili mtoto apate uraia wa Marekani. 2. Kwa kauli yake mwenyewe Joshua Nassari amesema...
9 Reactions
58 Replies
9K Views
Kuna tatizo kubwa sana ambalo watu wengi hawataki kulizungumzia na hata wahanga wenyewe wanajifanya hawaoni, wamejinyamazia. Tatizo la kuwepo kwa wimbi kubwa la wanawake wenye umri kuanzia miaka...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WA WILAYA YA TEGETA MACHI 21, 2019 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Tanzania itawasilisha kwa mara ya kwanza ripoti ya tathmini kuhusu utekelezaji wa malengo endelevu ya maendeleo (SDG) kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mwaka huu. Hatua hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo tarehe 21 mwezi March katika elimu ya Jiografia ni kwamba Jua lipo katika mstari wa Ikweta ambao unaigawa dunia katika sehemu mbili yaani *hemispheres* kwa maana ya upande wa Kakazini na...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari Wakuu... Kuna picha nimeiona mahala ikionyesha mtu kwa jina kwenye ile account yake ni Ben Stiller (cocochiecrumbs), jamaa dizaini kama alikua anaonyesha CD fulan sasa kilichoonekana si...
0 Reactions
40 Replies
13K Views
Wasalaam! Naomba nieleze kuwa nimesikitishwa sana na watu wanaojiita ni kutoka Manispaa kukamata/kutoza faini magari yanayopaki sehemu isiyo rasmi! Kwa watu wanaoifahamu vizuri barabara ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku Fidel Castro alipofoka akimlaani Abdelaziz Bouteflika Na Ahmed Rajab ABDELAZIZ Bouteflika ni jina ambalo baadhi yetu, wa umri fulani, tumekulia nalo utotoni na tunaendelea kulisikia hadi...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana MMU habari zenu Baada ya jua kuwa kali na joto kuzidi nimewaza kwenda nchi za Scandnavia baada yakuskia kwa baadhi ya wana MMU kuwa kwenye hizo nchi kuna kazi za kusambaza magazeti na kubeba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WIZARA ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya kuongeza usalama wa milki ya ardhi...
6 Reactions
49 Replies
14K Views
Amani Iwe Nanyi Wakuu. Nahitaji muongozo kutoka kwenu, nahitaji kutoa zawadi ya chano kwa viumbe, nnaposema zawadi namaanisha ni zawadi tu kama mtu anapompa zawadi mwenzake. Unapompa mwenzako...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kutokana na matengenezo yanayoendelea kwenye hili eneo, kuna mabadiliko makubwa ya njia yametokea.. Majanga au maafa makubwa yatatokea kama hali itaendelea hivi, maana hakuna sheria inayofuatwa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…