There was a shop raid on Tuesday, 26th March, in Nairobi’s Luthuli Avenue and the Anti-Counterfeit Authority (ACA) has managed to arrested five suspects and confiscated Ksh8 million worth of fake...
UTANGULIZI
Neno projections nitalitumia hapa nikiwa na maana ya makadirio ya baadae ya mambo mbalimbali ya kijamii na kitaifa.
Jamii yoyote ama taifa lolote huhitaji kufanya projections za mambo...
Nimekuwa nikifika uwanja wa Taifa kuangalia mechi mbalimbali za Mpira wa miguu nikiwa mtazamaji mzuri kupitia jukwaa la VIP B.
Kwa Mara ya kwanza jana niliona idadi ndogo Sana ya Jeshi la Polisi...
BRAZIL, nchi inayoshika nafasi ya nne kwa uzalishaji wa pamba duniani, imedhamiria kusaidia kuliinua zao hilo Ukanda wa Afrika Mashariki ili liweze kuwa na tija kwa wakulima wake. Kwa kuanzia...
Nakumbuka nilikua darasa la pili,huko shinyanga, siku moja nimetoka shule tukapata lunch then nikaenda kucheza kwao rafk yangu,nikakuta wanapata lunch pia,mama alishanikataza kula ile nyumba kwani...
Kumekuwa na sitofahamu juu ya mwenendo wa wananchi wa mwanza maeneo ya buhongwa kuzuiliwa na kusimamisha kuanzisha makazi yao kwa maeneo husika kisa eneo ilo linatakiwa na Jeshi la wananchi wa...
Ni utamaduni wa mtanzania kushukuru.
Watanzania tuna tabia njema sana, nianze kwa kahistoria kafupi kaliko tugeneralize watanzania wote, tukianzia na Marehemu JKNyerere. Wakati Fulani aelekea...
Za Saa Hizi Wakuu?
Direct niende kwenye Mada, ni kwamba Leo nimepokea barua kwa secretary wa hapa kazini ikitoka kwa boss, barua inahusu kusimamishwa kazi na ni kwa muda usiojulikana.
Kwenye...
Usione kama tumeonewa sisi watu weusi kutoshushwa mitume kwetu katika nyakati nyingi kama ambavyo wameshuka kwa wenzetu weupe.Mungu mwenyewe ndo mjuzi lakini tukitumia akili zetu kutafakari...
Mimi ni mkaazi wa Usagara wilaya ya Misungwi jijini Mwanza.naomba tu kukulizeni Tanesco..hivi mnafanya nini muda ambao ndiyo giza limeingia tunahitaji mwanga ninyi mnakata umeme?jana niliona...
Habari za majukumu wakuu.
Kama kichwa kinavyojieleza,serikali iliunda
mfuko huu ambao ni sheria kuchangiwa na kila mwajiri.
Kabla ya mfuko huu kuanzishwa waajiri walikuwa
wanahusika kuwalipa...
Habari za asubuhi wakuu.
Hivi hatuwezi anzisha taasisi ya upelelezi ya JF ambayo itakuwa inafanya upelelezi wa matukio tata na kuyaweka wazi na kuyafikisha kwenye vyombo vya sheria? Nina uhakika...
Habari za jioni hii wadau wa hili jukwaa letu pendwa..
Umewahi kujiuliza bila ya wewe kwenda shule kupata maarifa kuondoa ujinga kichwani Leo Hii ungekua na maisha ya aina gani?
Jaribu kuvuta...
Kiukweli huu msemo huwa unaniacha na maswali mengi au labda mimi ndio nakosea nirekebishwe, hivi ni Rais katoa au serikali imetoa?, mfano wenzetu wamarekani wanatangazo linasema "msaada huu...
Heshima kwenu wakuu.
Nimesikia huu msamiati wa kushusha na kupandisha Tanga nikasema niulize kwanza kwa wadau hili Tanga maana yake ni nini haswa...?
Nnavyojua mimi Tanga ni mkoa. Pili Tanga...
Nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Ally Samatta ameliomba shirikisho la mpira wa miguu nchini kutomsahau, Shomary Kapombe
Kapombe aliumia wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki michuano ya...
Tangu Maalim Seif na baadhi ya wanakafu kuhamia ACT, TBC imekuwa ikionyesha mara nyingi habari za vyama vya upinzani(Tho in a - way) tofauti na ilivyozoeleka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau habari ya jioni,leo nimepigwa maswali na mwanangu yanayohusu vitendawili,kwa kweli nimetoka kapa.
Tafadhali okoeni jahazi
1. Ajihami bila silaha.....
2.akibeba watoto wake bila...
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa hapa Tanzania na miradi hiyo ikiwa chini ya wachina basi inasadikika jamaa hawa kutoka Asia wameamua kufanya yao ili...
KITUO cha Utabiri wa Hali ya Maendeleo na Idara ya Maendeleo (IGAD) chenye makao yake makuu jijini Nairobi Kenya, kimetoa tahadhari ya uwepo wa ukame na joto kali Afrika Mashariki, huku Mamlaka ya...