Natafuta data za mvua na joto ya kila mwezi kwenye mikoa ya kagera, dodoma, Tanga kuanzia 2006 mpaka 2016


N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,177
Likes
5,970
Points
280
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,177 5,970 280
Wana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016. Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa masters yake. Nisaidie ndugu zangu ningekua nyumbani ningekwenda kwa wahusika ila nipo porini. Please help my son. You will never know anaweza tusaidia sote kwenye haya matatizo yetu. Please.

Natanguliza shukrani zenu kwa wale watakaokunwa na hili.
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,229
Likes
5,175
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,229 5,175 280
Dah.... Hourly? Daily? Weekly? Monthly? au Yearly?
Unapotafuta data ya Joto na mvua ya Tanga ....halafu ukaifanyie utafiti...wakati Tanga kuna Lushoto ...halafu kuna Pangani....
Ongea na mwanao tena asije kufeli ukaja kulialia Tena humu

Sent using Beretta ARX 160
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,229
Likes
5,175
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,229 5,175 280
google inafanya nini,? mamlaka ya hali ya hewa haiwezi kosa data sahihi tembelea website yao au mwano awafuate walipo ni majukumu yao kutoa msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...hizi ndiyo mastaz zetu za 2019...nimepata wasiwasi na uchungu mkubwa...kijana anafanya mastaz...yupo utafitini...hajui data za hali ya hewa atazipata wapi....hajui anahitaji za aina gani....anamuomba mshua wake ambaye yuko porini amsaidie kutafuta....mshua naye anakuja JF kuomba msaada....

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Sent using Beretta ARX 160
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
511
Likes
361
Points
80
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
511 361 80
Mwambie mwanao aende Mwanza ofisi za Bonde la Ziwa Victoria au kama yupo DAR aende Dodoma. Pale aende Idara ya Rasilimali za Maji.

Data zikikuwa Ubungo Maji ila wamehamia Dodoma.

Wana vituo baadhi ya mikoa ambayo wanakusanya data sio hourly tu. Ila hata baada ya kila dakika 5 kwa 24 hrs kwa mwaka mzima. Hizo data kama kituo kipo kigoma zilikuwa zinatumwa kila baada ya dak 12 kwenye server Ubungo Maji. Nakumbuka vituo vilikuwa 66 kwa kuanzia nchi nzima. Ni weather platforms za hali ya juu sana Wizara ya Maji kupata.. Vituo vinatumia solar na vilituma data vyenyewe. Baadhi ya data zilizotumwa ni mvua, max/min temp/vipimo kuhusu jua/ upepo/pressure/. Mashine zilikuwa configured kutuma kila baafa ya dak 12..

Kwa mfumo huo hawezi kupata data mpaka 2019 kwasababu uamuzi wa kuhamia Dodoma ulitibua mfumo wote, kulikuwa hakuna jinsi.

Kwani lazima atumie za Kagera. Angecheki wapi data zipo kwanza ndo angeenda msituni.

Data ni bure awaone wahusika. Aende na barua ya kuomba data aione Director Water Resources, aandike kifupi ni kwanini anataka hizo data.

Ukikwama mtafute nwenye post #9 inaekea anajua hii habari ya data

Anzia huko halafu aendaeTMA nako kuna changamoto kibao.


Kuna watu inaelekea hawako well informed Unakuta mtu anashangaa eti kwa nini mtu unauliza data JF.

JF kuna ma GURU wengi wako humu, na wapuuzi wanaouliza maswali kama hayo wapo pia wanaodhani wanajua kila kitu.inabidi wabebwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
511
Likes
361
Points
80
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
511 361 80
Bora ungetumia njia ya kuelimisha kuhusu data badala ya kutoa vitisho vya Ole wako sijui una maana gani ?

Ina maana Wizara ya Maji wakitaka kufanya utafiti wanaomba data TMA wakati wana vituo vyao* au wakikusanya data zote wanapeleka TMA ?

Au hawaruhusiwi kutoa data mpaka wapate kibali cha TMA ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,177
Likes
5,970
Points
280
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,177 5,970 280
google inafanya nini,? mamlaka ya hali ya hewa haiwezi kosa data sahihi tembelea website yao au mwano awafuate walipo ni majukumu yao kutoa msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
yupo nje ya nchi na anahitaji kufanya research ya mwisho wa kumaliza masters mkuu. Inabidi apresent mwisho wa march.
 
Inanambo

Inanambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,981
Likes
1,252
Points
280
Inanambo

Inanambo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,981 1,252 280
Wana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016. Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa masters yake. Nisaidie ndugu zangu ningekua nyumbani ningekwenda kwa wahusika ila nipo porini. Please help my son. You will never know anaweza tusaidia sote kwenye haya matatizo yetu. Please.

Natanguliza shukrani zenu kwa wale watakaokunwa na hili.
MwanaJamvi mwambie mwanao aende Ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa Makao Makuu Ubungo Plaza 3rd floor. Atapewa utaratibu. Akikamilisha atapewa data zote zenye 'ISO'. Yaani zilizohakikiwa na kuwa Verified. Pole sana kwa majibu ya shobo unayopata huku.
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,585
Likes
10,027
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,585 10,027 280
Kwa data za joto, mwanao aende TMA wapo Ubungo. Kama anaweza, apate reference letter kutoka chuoni kwake kuelezea dissertation anayofanya na kwa nini anataka data hizo. Huwa kuna utaratibu wa kulipia (wenyewe wanasema ni kuchangia costs ya data collection/maintenance ya equipments). Kwa wanafunzi beo huwa ni nafuu sana. Data zote atapata hapo.

Ingekuwa flow data, angepata kwenye ofisi za mabonde (water basins)
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
8,660
Likes
5,708
Points
280
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
8,660 5,708 280
yupo nje ya nchi na anahitaji kufanya research ya mwisho wa kumaliza masters mkuu. Inabidi apresent mwisho wa march.
Sasa jamani hebu tuwe wenye kutumia akili walau kidogo. Mtu anafanya research na hajui data za research zake atazipata wapi? Nina mashaka sana kama hata huo utafiti anafanya yeye kama siyo kufanyiwa! Hakujiandaa kufanya utafiti?
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,177
Likes
5,970
Points
280
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,177 5,970 280
Dah.... Hourly? Daily? Weekly? Monthly? au Yearly?
Unapotafuta data ya Joto na mvua ya Tanga ....halafu ukaifanyie utafiti...wakati Tanga kuna Lushoto ...halafu kuna Pangani....
Ongea na mwanao tena asije kufeli ukaja kulialia Tena humu

Sent using Beretta ARX 160
Jamani nieleweni. Pro mwenyewe hajawahi fika hapa bongo ila anataka mwanangu afanye huo utafiti. Yupo Italy na mwanangu yupohuko huko mimi nipo mitini sipo bongo mnisamehe nisingekuja humu kama ningekuwa home. Mkinisaidia sawa ila msinipe msinipe madongo maana nayajua ya ya JF. Mello nisaidie tafadhari.
 

Forum statistics

Threads 1,272,363
Members 489,924
Posts 30,448,844