Wale wanaotumia TALA


BradFord93

BradFord93

Senior Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
154
Likes
164
Points
60
BradFord93

BradFord93

Senior Member
Joined Oct 11, 2017
154 164 60
Nauliza hivi kuna uwezekano wa mimi kurejesha deni la kwanza la 22.8K na kukopa 40K??.

Vyuma vimebanana hatari,naomba kwa watumiaji wa tala mnipe mwanga
Yap inawezekana mimi nilikopa first 20k then wakanipa 50k
 
papason

papason

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
2,629
Likes
1,052
Points
280
papason

papason

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
2,629 1,052 280
TALA ndiyo dubwana gani?
 
NALIA NGWENA

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
2,355
Likes
1,331
Points
280
NALIA NGWENA

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
2,355 1,331 280
Me tala, branch nimewakopa naomba mnipe app nyingine niwakope
 
K

Kidawa_hiphop

Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
14
Likes
8
Points
5
K

Kidawa_hiphop

Member
Joined Jul 7, 2018
14 8 5
Yap inawezekana mimi nilikopa first 20k then wakanipa 50k
Mkuu nataka nifanye risk,nina hela hiyo ya kurejesha,sasa mimi nataka nirejeshe then waniongeze either 30k au 40k,nifanye kurejesha sio??
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,331
Likes
6,776
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,331 6,776 280
Kuna she alikopa 20k alaf akakaa 30minutes akailipa. Hapo hapo wakampeleka 80k
 
M

momentoftruth

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2014
Messages
1,157
Likes
593
Points
280
Age
34
M

momentoftruth

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2014
1,157 593 280
Jamaa wanasaidia kwenye shida kusema ukweli mi niko 80k
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,236
Likes
596
Points
280
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,236 596 280
Mimi nilisha haribu kote siyo tala branch Voda Togo majanga nikunganisha madeni yanafika 140,000 nilichelewesha sasa sina vigezo tena
 
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
4,952
Likes
4,036
Points
280
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
4,952 4,036 280
Mimi nilisha haribu kote siyo tala branch Voda Togo majanga nikunganisha madeni yanafika 140,000 nilichelewesha sasa sina vigezo tena
lipa kidogo kidogo haujapoteza kigezo ila utapunguziwa kiwango cha kukopa kutoka cha juu hadi cha chini...jitahidi ulipe
 
General Galadudu

General Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2015
Messages
1,457
Likes
1,062
Points
280
General Galadudu

General Galadudu

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2015
1,457 1,062 280
huwezi kukopa tala na branch kwa the same infomation
Hiyo ni kweli, mi nipo TALA lakini nilijaribu kwa BRANCH ikashindikana
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
22,395
Likes
34,376
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
22,395 34,376 280
Hiyo TALA naisikiaga humu tu...
 

Forum statistics

Threads 1,238,098
Members 475,830
Posts 29,310,863