Kero yangu kwa Airtel timiza

Tilalilala

Member
Nov 30, 2014
78
66
Leo naomba niwasilishe kero yangu kwa hawa jamaaa wa airtel timiza kwani wanasema unapoweka akiba katika akaunti yako unapata zawadi. ambapo zawadi yenyewe ni 5% ya kiasi ulichoweka kisha unaigawa kwa 12. kwa mfano ukiweka akiba 100,000 unachukua 5% ya 100,000÷12 ambapo inakuja kama sh 417 hivi lakini mimi kero yangu ni pale ambapo hata hicho kidogo hawakitoi yaani inafika tarehe husika na hawatoi gawio husika.

Kwa wale wataalam wa m-pawa wanipe ujuzi kuhusu m-pawa maana huku kwa airtel kuna ubabaishaji tu.
 
Me nishatoka huko mkuu.. Ety niliweka kilo 50 then baada ya mwez nikapewa sh 184 nikaona huu ni upumbavu.

Mwanzo walinambia nitapata 5% ya kiwango nilichoweka.. Baada ya malipo naona hyo sent ya kipuuz.. Yaan ni sawa na 0.0034... Kitu kama hicho
 
Me nishatoka huko mkuu.. Ety niliweka kilo 50 then baada ya mwez nikapewa sh 184 nikaona huu ni upumbavu..
Mwanzo walinambia nitapata 5% ya kiwango nilichoweka.. Baada ya malipo naona hyo sent ya kipuuz.. Yaan ni sawa na 0.0034... Kitu kama hicho
yaaani mimi mwenyewe nataka nkachomoe maana nimeweka mkwanja wa maaana afu wananiletea undezi
 
Back
Top Bottom