- Mhariri mwandamizi wa baraza la kiswahili Tanzania (BAKITA) ndugu. Honi Sigara, kuanza kutumiwa kibiashara kwa mgongo wa taasisi hii (BAKITA) je ni sawa? Kuna tangazo moja linasikika redioni likinadi mtandao wa simu kuhusu kifurushi cha HATUPIMI kwa kupigia chapuo watu wajiunge na kifurushi hicho. Je; Public Authority zinaruhusiwa kutumika kufanya promo?
- Naombeni majibu ili na imi nimtafte mkurugenzi wa NECTA nimtumie kufanya promotion ya shule yangu.