Nyuki ni viumbe huru wanaoishi katika Mazingira yetu

Mar 6, 2019
42
95
Nyuki ni viumbe huru wanaoishi katika Mazingira yetu.
Nyuki hawahitaji kulishwa bali hujitafutia chakula chao na maji wao wenyewe, na wamekuwapomiaka mingi duniani bila kutegemea msaada wa binadamu ili kuishi.
Asilimia 60-80 ya matunda na mboga zote tunazotumia vimetokana na msaada wa uchavushaji {pollination} wa Nyuki katika Mimea inayotegemea Nyuki na wadudu wengine ili kuweza kutoa mbegu au matunda.
Ijaze bustani yako au mazingira yanayokuzunguka kwa miea inayotoa maua na kutegemea Nyuki katika uchavushaji {pollination}.
#Bees Do Not Need Us , But We Need Them.
bees.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom